Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,209
Aisee bila shaka ni SV hio, hivi kwanini zina depreciate kiasi hiko?Hii hapa chini ikifika 2040s kina Chris Lukosi mzee wa dungu jeshi watatuuzia million 30 itakuwa imekonda balaa. Sasa hivi hadi uimiliki ni billion.
View attachment 3542944
Mad Max RRONDO Extrovert
Hizi mbona sasa hivi zinauzwa milioni 25Hii hapa chini ikifika 2040s kina Chris Lukosi mzee wa dungu jeshi watatuuzia million 30 itakuwa imekonda balaa. Sasa hivi hadi uimiliki ni billion.
View attachment 3542944
Mad Max RRONDO Extrovert
Dogo acha vituko jamvini.Nasubiri kuona Mcmillan de Maghayo Driz de Mafwele adriz Invisible Mafia na GHAYO wakija kuisapoti mada hii Kwa nguvu zote.
Hivi huyo chriss Lukosi minada yake ni ya kweli?Hii hapa chini ikifika 2040s kina Chris Lukosi mzee wa dungu jeshi watatuuzia million 30 itakuwa imekonda balaa. Sasa hivi hadi uimiliki ni billion.
View attachment 3542944
Mad Max RRONDO Extrovert
Kijana naona heshima inashuka kama chupi ya kahaba.Dogo acha vituko jamvini.
Range Rover,Mercedes Benz hao jamaa tuwaangalie tu sidhani kama sisi walima mchicha tunaweza kuwakosoa sidhani sidhani kabisaa..Range Rover zinamuonekano mbaya sana halafu ni nzito sana kukimbia.zijui Huwa wanazipendea Nini watu
Nadhani Range Rovers za zamani ni ile boxy design halafu madirisha yake makubwa , za siku hizi zimejaa ... kusema gari inakonda si kweli.Naunga mkono hoja. Kuna mwana mmoja hapa anayo namba B**, chuma imekonda sana na haitamaniki kabisa.
Aisee nzito kukimbia sio...πππRange Rover zinamuonekano mbaya sana halafu ni nzito sana kukimbia.zijui Huwa wanazipendea Nini watu
Hahahahahaaaaa pacha bana anaposti uzi bila kutushirikisha?Nasubiri kuona Mcmillan de Maghayo Driz de Mafwele adriz Invisible Mafia na GHAYO wakija kuisapoti mada hii Kwa nguvu zote.
Kaka kasema ukweliNasubiri kuona Mcmillan de Maghayo Driz de Mafwele adriz Invisible Mafia na GHAYO wakija kuisapoti mada hii Kwa nguvu zote.