Jemedari Kalundi Member Joined Feb 17, 2012 Posts 26 Reaction score 1 Jul 18, 2012 #1 Msiba mkubwa wa taifa letu, hawa wameacha wajane na yatima, je formular gani inatumika katika serikari kutoa rambirambi maana tumeshuhudia mamilioni yakitolewa kama rambirambi rasmi, utaratibu ni ipi mpaka sasa
Msiba mkubwa wa taifa letu, hawa wameacha wajane na yatima, je formular gani inatumika katika serikari kutoa rambirambi maana tumeshuhudia mamilioni yakitolewa kama rambirambi rasmi, utaratibu ni ipi mpaka sasa
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,744 Jul 18, 2012 #2 Si nasikia huwa wanakataa baadhi ya rambirambi?!, labda rambirambi ya JF wataikubali!!!!
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Jul 19, 2012 #3 T.B joshua watamkubali tu leo ingawa wanampinga sana na kumwita KAFIR.... Majukwaani. Ingawa rambi rambi zake wanachukua UAMSHO ITASISITZA WAKATAE RAMBI RAMBI ZA TANGANYIKA. Walivyo na akili nyuma nyuma
T.B joshua watamkubali tu leo ingawa wanampinga sana na kumwita KAFIR.... Majukwaani. Ingawa rambi rambi zake wanachukua UAMSHO ITASISITZA WAKATAE RAMBI RAMBI ZA TANGANYIKA. Walivyo na akili nyuma nyuma