je unahitaji kuchorewa ramani [ designs] za nyumba/ majengo za kisasa pamoja na ushauri/supervision?
Kwa yeyote anaehitaji ramani za nyumba au majengo yoyote kwa gharama nafuu pamoja na kupata ushauri wa kitaalam [Consultancy]
Mara nyingi tumezoea tu kujenga bila kuzingatia ushauri wa kitaalam ambao unaendana na hali ya site ilivyo.Mwisho wa siku unakuta nyumba imejengwa bila kuangalia/Ku-study site constraints,potentials,feature s and surrounding neighborhood na inakuwa siyo HOME tena bali ni HOUSE.
Kama utahitaji huduma yangu Ni PM au piga/SMS 0713 893525.