Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
kwa mawasiliano zaidi
0713450840 francofmwakiwonde@gmail.com francofmwakiwonde@yahoo.com
Una demo ya residential house ambayo upande mmoja ni ghorofa moja na upande mwingine ni nyumba ya kawaida ya chini! inerest yangu ni roofing appearance
Una demo ya residential house ambayo upande mmoja ni ghorofa moja na upande mwingine ni nyumba ya kawaida ya chini! inerest yangu ni roofing appearance
Mi nafikiri mngeweka na bei ya chini ya kuanzia kwa mchoro wa kawaida wa nyumba yoyote unaanzia kiasi gani,kwa mfano wengine husema wao huanzia TZS 800.000 kwa kutegemea ramani lakini hakuna ramani chini ya hapo na je nyie mnaanzia TZS ngapi