Ramani za nyumba za kisasa zaidi

Joined
Dec 5, 2017
Posts
21
Reaction score
5
Kwa mahitaji ya raman za nyumba zilizobora kabisa nicheck whasapp/=0718-892233 or call me sehemu/ mkoa wowote tunafanya kazi
 

kwa raman za kisasa zaidi tuwasiliane
#-2 bed room (one master)
#-living room(lounge)
#-kitchen
#-dinning
#-public toilets
nicheck whats app// 0718-892233
 
nataka nijenge one room self contained, na kasebule, dining, public toilet.
Raman nitaipata kwa bei gan
 
Ramani ya nyumba kama hiyo hapo juu naweza pata kwa bei gani? ina vyumba vingapi??
 
hyo in vyumba viwili one master bed room bei zinatofautiana kiongoz 0718-892233 nichek hapo
 
Onyesha layout plan, tuone mpangilio...ondoa dimensions we just want to see the functional configuration..
 
hyo in vyumba viwili one master bed room bei zinatofautiana kiongoz 0718-892233 nichek hapo
Mnaniachaga hoi sana, yaani kujata bei inakuwa sijui kuna uzito gani. Mnatia wasiwasi wateja, mawazo yanayoniijia nikiona majibu ya njoo pm, njoo WhatsApp baada ya kuulizwa bei ni: huenda PM ("chobingo") kila mtu unampa bei yake, aliyepigwa na aliyefanyiwa fair wote mnamaliza biashara pasipo maneno, sasa kama sivyo kwanini usiwatajie bei hao waliouliza specifically? ndio labda uwaambie ila mazungumzo yapo nk. Badilikeni bwana, Yale mambo ya kuingia mtumbani ukishika kiatu ukauliza bei anakwambia "we utanipa ngapi" mi naona ya kishamba sana
 
BOQ unatoa? Je vyumba mbili sebule na mengineyo ya muhimu ni kiasi gani? How much do you charge for site visit?
 
......Architect technologist.......
3-bedroom (1-master bedroom)
Lounge (living room)
Dinning
Kitchen + store
Public toilet........
Follow allysstech on instagram for a good designing of buildings
Whatsapp/call:+255718-892233/+255752-392233
 

Attachments

  • 33%20-%20Copy.jpg
    64.8 KB · Views: 56
......Architect technologist.......
3-bedroom (1-master bedroom)
Lounge (living room)
Dinning
Kitchen + store
Public toilet........
Follow allysstech on instagram for a good designing of buildings
Whatsapp/call:+255718-892233/+255752-392233
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…