Hashim Jirini
Member
- Aug 12, 2016
- 61
- 17
Offer hii ni mwezi 1tu unapata ramani za nyumba kwa gharama nafuu with documents, pia tuna jenga nyumba tupo Arusha na Tanga. Contact: 0674904430
Mkuu wewe ni architect? Umesajiliwa? Sheria inasemaje kuhusu kujitangaza kama architect?Offer Hii ni Mwezi 1tu.Unapata RAMANI za Nyumba kwa Gharama Nafuu with Documents, Pia TunaJenga nyumba tupo Arusha na Tanga. Contact: 0674904430
hahahahahahha dahNinunue raman kwa hela yote hiyo, wakat google zimejaa tele, au pale karume zimemwagwa chini zinauzwa BUKU BUKU,
Tanzania bhana.Mkuu wewe ni architect? Umesajiliwa? Sheria inasemaje kuhusu kujitangaza kama architect? View attachment 921276
Ninunue raman kwa hela yote hiyo, wakat google zimejaa tele, au pale karume zimemwagwa chini zinauzwa BUKU BUKU,
unataka wabunifu majengo wafe na njaa ndg!!!?