Yeah, weka humu sample za kama ramani sita hivi za nyumba , kila moja ikionyesha plan, front, real na side views.weka website, uweke charges zako na sample ya kazi zako
Asante kwa mawazo.
Kuweka sample ni sawa ila nitaweka muda si mrefu.
Kufungua website kwa sasa sitaweza maana ndo nimeanza nguvu ni ndogo.
Bila shaka unaelewa kwa hapo.
weka mkuu kuna watu tunahitaji sana hio huduma pamoja na wakandarasi..biashara ya kujibizana na ndugu na ktumiwa picha ya nyumba ya jirani hatuitaki.kula tano.
Mkuu safi sana, umeonesha ulivyo na akili
Mimi nina vijana wangu watakusaidia kutengeneza website bure,lakini wewe itakupasa ulipie gharama za kurun web yako,sasa sijui kama utaweza.
...............i am qs!we can team up when it happens that your clients need my services!Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Mfano; Residential Houses, Hotels, Resorts, Comercial Residentail (mix use development) na Office Buildings.
Pia tunafanya interior Design na Landscape Design.
[EMAIL="architectmadai@yahoo.com"]architectmadai@yahoo.com[/EMAIL]
mimi swali langu siku zote ni kwenu nyie mnaotumia JF kujinufaisha kwa kuweka matangazo..well and good! lakini hivi huwa mnaichangia JF kwa michango?au mnaitumia tu?Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Mfano; Residential Houses, Hotels, Resorts, Comercial Residentail (mix use development) na Office Buildings.
Pia tunafanya interior Design na Landscape Design.
architectmadai@yahoo.com
ku host website kwa mwaka sio bei mbayaAsante kwa mawazo.
Kuweka sample ni sawa ila nitaweka muda si mrefu.
Kufungua website kwa sasa sitaweza maana ndo nimeanza nguvu ni ndogo.
Bila shaka unaelewa kwa hapo.
ku host website kwa mwaka sio bei mbaya
angalia hii site binafsi nimeshaitumia
http://www.orchardhosting.com/
bei zinaanzia 20,000 ya TZ na kuendelea kwa mwaka
pia unaweza ukaongea na invisible, na dhani anaweza kukuhostia kama mkielewana
watu wengi wa ngambo wanaliwa sana TZ, ukiwa mwaminifu na ukaondoa uwongo wa wazee basi utafanikiwa tuu....
uwaminifu ni kitu muhimu sana
MKUU,UMESAJULIWA KWA MUJIBU WA SHERIA NO.16 YA MWAKA 1997? NAOMBA USOME KIFUNGU CHA 83(e) CHA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2000 ZA SHERIA HIYO.
KAZI NJEMA.
Very good question tukumbuke "No free lunch"..., embu tukumbushane namna ya kuchangia maana najisikia vibaya ninavyoitumia JF bila ya kutoa chochote.mimi swali langu siku zote ni kwenu nyie mnaotumia JF kujinufaisha kwa kuweka matangazo..well and good! lakini hivi huwa mnaichangia JF kwa michango?au mnaitumia tu?
Asante Mr. architect, Rugas
Nimesoma vifungu tajwa hapo juu.
Nimekuelewa..
Ila ukichunguza katika majarida yote ya Construction utaona mengi na Utanielewa maana kuna vya kujifunza.
architectmadai@yahoo.com
Sheria ipo na nimekuelewa.
Mkuu mimi nakuunga mkono moja kwa moja nina eneo langu huko kibaha pwani naomba namba yako ili tuwasiliane siku moja nikupeleke uangalie namna ambavyo unaweza kunicholea mjengo wa kukakaa katika eneo hilo ukawatisha walio tangulia namba yangu ni 0715972970 nipe yakwako tuchape kaziPoa,
Tuombe uzima. Sample sio nzuri kwa vile utapewa Ramani ya nyumba ya Jirani. Mimi napenda tufanye Design kwa kushirikiana.
mimi nitaweka mawazo yako ktk karatasi (Michoro). Hii itaepusha kupewa ramani zenye kufanana.