Ramani (3 rooms, Sebule, Jiko, dinning, Toilet, Bathroom )

Ramani (3 rooms, Sebule, Jiko, dinning, Toilet, Bathroom )

Na inakuaje kwa mtu anaetaka kujenga Zanzibar unamsaidiaje hapo. I mean unafanya shughuli zako Zanzibar pia ama umebase Dar tu.. Thanks..
 
hii inachukua size ya mita (15*12.5) , cost estimates za material zitakazotumika nafanya kuanzia foundation hadi juu... kasoro roof tu caz roof ziko various.roof nitakupatia dimensions zake ambazo itakusaidia na fundi wako kupata idadi ya mabati kulingana na bati utazotumia

Je; unapatkana wapi na gharama yako imekaaje kwenye hiyo michoro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom