Only 100,000 kwa hii call 0758929087
unanipa wasiwasiCall 0758929087 for full details and more design
kama una kiwanja na unasimamia mwenyewe ni Tshs 20-25mkama million 40 hivi. kwa usimamizi mzuri
kila kitu boss, wewe nakukabidhi funguo kama baba mwenye nyumba.hapo material tu? au hadi kulipa mafundi?
Je! inachukua eneo la ukubwa wa kiasi gani (i.e urefu*upana)? Je! kwenye ramani zako unatoa na estimate za materials yatakayotumika?
namba yangu ya whatsapp ni 0713 532322
Okay nakuelewa. My point was, ungeweza kumantain the same floor area lakini ukalifanya likawa more useful.hilo jiko ni dogo kulingana na mahitaji ya huyo mteja hasa ukubwa wa kiwanja chake ulibana, mteja mwingine atakuwa na specification zake
Call 0758929087 for full details and more design