Vedasto Leopold
Member
- Aug 31, 2017
- 30
- 33
Habari zenu wadau. Nahitaji ram ddr2, 4GB kwa ajili ya laptop, HP 6930p. Kama upo mwanza ni vema zaidi, Ila hata maeneo mengine. Au kama unaweza kushauri karibu
DDR2 4gb unazo? Au zinakuwa kwenye 2Gb?Nipo dar nakufanyia delivery...
Bei Poa DDR2 , 2GB 20000
DDR 3 4GB 40000
KARIBU
CALL 0682202114
Zinapatikan ila being yake ipo juu 50000DDR2
DDR2 4gb unazo? Au zinakuwa kwenye 2Gb?