Habari zenu wanaJF,
Simu yangu inaonyesha RAM yake inaelekea kujaa, nifanyeje ili niipunguze,maana kwa uelewa wangu RAM ikiwa kubwa ndo simu inaperfom faster, 383MB used 85MB free naomba msaada kwa anaejua.

RAM inahifadhi sessions au processes kwa muda mfupi tu na baadaye huwa zina evaporate, sasa unapotueleza inajaa mkuu twapata wasiwasi kama kweli wajua matumizi ya aina hii ya memory.
Hebu tueleze simu yako ni aina gani, umeweka apps zipi na kwa wastani huwa unafungua apps ngapi?
Habari zenu wanaJF,
Simu yangu inaonyesha RAM yake inaelekea kujaa, nifanyeje ili niipunguze,maana kwa uelewa wangu RAM ikiwa kubwa ndo simu inaperfom faster, 383MB used 85MB free naomba msaada kwa anaejua.
pole sana ushauri wangu ni kwamba nenda kwenye setting then google account import to sd then kanunue memory kubwa kidogo then itoe ya zamani weka humo then sema import from sd kila kitu kitarudi mahali pake mkuu siamini kama vitu ulivyoweka kwenye simu yako havina maana vyote vina maana so nunua memory card mpyaa fanya nilivyokuelekeza thank u