Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Wakuu nataka kununua RAM ya 4GB na hard disk ya 300GB. Je, hivi vyote kwa dar nitapata wapi na kwa how much?
wacheki mitsumi wapo SAMORA HOUSE!!Wakuu nataka kununua RAM ya 4GB na hard disk ya 300GB. Je, hivi vyote kwa dar nitapata wapi na kwa how much?
wacheki mitsumi wapo SAMORA HOUSE!!
Hard disk kama ni SATA inaenda kwenye laki na nusu na Ram kama ni ddr2 inakuwa kwenye laki hadi laki na nusu nenda Zawadi technology opp na club ya Simba KariakooWakuu, nahitaji msaada.
Wakuu nataka kununua RAM ya 4GB na hard disk ya 300GB. Je, hivi vyote kwa dar nitapata wapi na kwa how much?
nipe laki mbili na nusu nikupe vyote, pressdown@hotmail.comWakuu nataka kununua RAM ya 4GB na hard disk ya 300GB. Je, hivi vyote kwa dar nitapata wapi na kwa how much?
Yaani kwa hizo specifications ningekushauri ununue hard disk peke yake kwani nadhani processor speed yake haizidi 2.0 Ghz so kwa hiyo speed inafaa iwe na angalau na 1 GB ram, hiyo ya 4 GB ram inafaa proccesor iwe dual core ndio itasukuma mzigo vizuri.Windows xp sp3 / compaq (desktop)
1gb ram, 20gb hdd (sio yangu)
au mzizima.Hard disk kama ni SATA inaenda kwenye laki na nusu na Ram kama ni ddr2 inakuwa kwenye laki hadi laki na nusu nenda Zawadi technology opp na club ya Simba Kariakoo