Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,902
- 10,368
Makocha wa mitandaoni ni wajuvi sana.
'Unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI BOBAN', tunaambiwa na nani au na wewe uliyenae kambini? Je vipi kocha wa Roma ameyavumiliaje hayo yote au akiwa Roma hafanyi hayoYaani dah.!!!!!sasa yeye ndio anakuwa nae mazoezini na kambini wewe upo huku sijui unajuaje maenndeleo yake ndani na nje ya uwanja!!!unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI 'BOBAN' ni cha pombe hatari anaitwa kambini anakuja amelewa,hawezi kucheza mpaka avute sigara kiujumla nidhamu yake mbovu na ukiwalea watu namna hii utajikuta una kikosi cha walevi na wavutaji maana hata yule anayefanya kwa woga na kujificha atakuwa huru ....bora alivyoachwa
Kama unaona anafaa mchukue wewe basi,we upo nyankunya huko hujui lolote unataka kumtoa akili mtaalam MARTINEZ.....yeye kaona fellaini bora kuliko huyo radja sasa msitupigie kelele,'Unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI BOBAN', tunaambiwa na nani au na wewe uliyenae kambini? Je vipi kocha wa Roma ameyavumiliaje hayo yote au akiwa Roma hafanyi hayo
Ukizingatia roma ndio kwenye ajira yake wanamlipa na mshahara'Unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI BOBAN', tunaambiwa na nani au na wewe uliyenae kambini? Je vipi kocha wa Roma ameyavumiliaje hayo yote au akiwa Roma hafanyi hayo
Martial nae mlitaka aitwe? Akacheze namba ya nani?Yani hata mimi ndo ningekuwa morata au martial ningestaafu hapo hapo tu maamae.
Hatujalazimisha waitwe ila yanini kuendelea kuji-engage na national team wakati huna chance ya kuperform kwasababu hawajaona umuhimu wa wewe kuwa kwenye team.Martial nae mlitaka aitwe? Akacheze namba ya nani?
Dimitr Payet
Alexander Lacazete
Karim Benzema
Wote hao ni bora kuliko Martial na bado wameachwa. Katika team zilizojitahidi kubalance kikosi bila upendeleo, ufaransa ni moja wapo.
Eti Morata nae aitwe, mkuu unatania!
Watu wamemuacha Torres na experience yake ya world cup, ndo ije kua morata anaefunga once in a blue moon?
Aspas na Costa wanatosha kabisa!
mbona hatuoni AS Roma wakimkataa kwa sababu mambo ya nidham yana impact kotekote af nashangaa we umejuaje kuwa et matatizo ya kuwa chapombe ndo yamemkosesha ilhali kocha hajatoa sababu hizoYaani dah.!!!!!sasa yeye ndio anakuwa nae mazoezini na kambini wewe upo huku sijui unajuaje maenndeleo yake ndani na nje ya uwanja!!!unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI 'BOBAN' ni cha pombe hatari anaitwa kambini anakuja amelewa,hawezi kucheza mpaka avute sigara kiujumla nidhamu yake mbovu na ukiwalea watu namna hii utajikuta una kikosi cha walevi na wavutaji maana hata yule anayefanya kwa woga na kujificha atakuwa huru ....bora alivyoachwa
huyo witsel mwangalie hvyo hvyo....kwani hujaona perfomance yake???????...walau ungemweka yuri tielmas ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu national teamnaamini hii ni miongoni mwa hujuma kubwa sana tena nafkiri walimwacha ili mataifa yao yapate nguvu eapecially kwa huyu henry kichogo haiwezkan et felain na witsel ndo wakapambane na pogba na matuidi na kante duh
sijaona wa kufimkia radja kiukwel radja mpira anaupiga tena sio mpira wa masihara ni mpira wa kazkaz refer mechi yao na liverpool pale romahuyo witsel mwangalie hvyo hvyo....kwani hujaona perfomance yake???????...walau ungemweka yuri tielmas ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu national team