mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 812
- 1,812
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka Morocco.
Ikumbukwe hapo jumamosi tuna jambo letu hapo nchini Tanzania
.
Kile kipigo tulichotoa kwa wale waganda ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kwa hawa wabana pua wa
. Tutawakun'guta vilivyo kama tulivyowafanya kaka zao Mwaka 1998.
Jeshi Zima la wapambanaji tayari limeshatua kwenye ardhi ya nchi
tayari kutoa darasa kwa hawa wacheza singeli wa bongo.
Ikumbukwe hapo jumamosi tuna jambo letu hapo nchini Tanzania
.Kile kipigo tulichotoa kwa wale waganda ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kwa hawa wabana pua wa
. Tutawakun'guta vilivyo kama tulivyowafanya kaka zao Mwaka 1998.Jeshi Zima la wapambanaji tayari limeshatua kwenye ardhi ya nchi
tayari kutoa darasa kwa hawa wacheza singeli wa bongo.
