Huoni Tofauti au?
Ofisi haina mazingira mazuri ya kazi,haina Mvuto. kabisa hata mimi nisnge ipenda, na ndio maana jamaa akai ofisini kabisa kila kitu yupo Mtaani.
Ndicho nilichokisema hapo, Ofisi haina mazingira mazuri ya kazi, ofisi gani hii ,Komputer mezani?
Printer?
sasa ma PS wanafanya gazi gani? hawaamini?
yani hii ofisi inazidiwa hata za za MA-CEO wengi tu mjini.
Cheki huyu naye atleast..