Raisi wangu magufuli chonde chonde usirudie Yale yale

Wanasema kuwa rais Magufuli ni mzalendo sana, ni nabii yule ajaye hivyo hawezi kukosea. Ni mtakatifu aliyeteuliwa na kupendeza machoni pa Mungu.
 
Mnapenda tu kumuongelea.... eeeeeh

Hongera kwake

Magufuli 2020
Lakini wewe umewahi kufikiri ni wapi tulipojikwaa mpaka tunapigwa na wawekezaji kiasi hiki?!

Muundo wa utawala wetu ni tatizo na 1. Katiba yetu kufanya Rais mungumtu ni tatizo kubwa zaidi. Angalia kama sasa tunakimbizana na mawaziri na wanasheria wakuu wa wakati huo huku Mkapa na Kikwete wakiwa wanakula bata!!!
 
Wanasema kuwa rais Magufuli ni mzalendo sana, ni nabii yule ajaye hivyo hawezi kukosea. Ni mtakatifu aliyeteuliwa na kupendeza machoni pa Mungu.
Kazi kweli kweli
 
Ila jana si kasema tume ya sheria iunde sheria na kwamba mikataba yote ipitiwe ipelekwe mbungeni hata ya gas,basi nami ombi langu Rais isiwe madini tu bali mikataba yote yenye kuhusu rasilimali za Tanzania,m
kataba mmoja baada ya mwingine upitiwe tu,hata kama ni makaburi ya mwaka arobaini na saba wacha tuyafufue tu. Umeamua kuwa msafi kuwa msafi kweli kweli,Mungu hapendi vuguvugu anataka ukiwa moto uwe moto kweli,na ukiwa baridi kuwa baridi kweli tena ugande haswaaaa!!!
. Vuguvugu anasema nitakutapika!! Hope hutapendwa kutapikwa na Mungu,tunakuombea uamue moja tu.!!
 
Wazo zuri sana,kama anayofanya sio kutafuta kiki atekeleze ushauri wako.
 
Swali je! Atatoa yake ya ndege na ujenzi wa uwanja wa chato na sehemu nyingine??
 

Kaibadilishe.

Kulalamika kunasaidia nini, Rais wa sasa ameanza watu bado midomo.. kwa sababu wananchi wengi ni kulalamika ndio kama chakula chao bila kichwa wala miguu. Nawe mmoja wao
 
Acha umbea we mwanamke! Hapa tunazungumzia masuala ya kitaifa sio tunamzungumzia huyo unayesema tunapenda!
Ili nia njema yake isiwe na shaka
Aweke mikataba wazi mbona hakuna ugumu?

Mwandikieni kuomba sio mnakaa kulalamika kila sekunde, au tuma mbunge wako akaombe huko bungeni.
 
Rais wa nchi asiongelewe unataka tukuongelee wewe?kwa lipi,kwa kuropoka ropoka kama Unakunywa viroba vya magendo.

Jiangalie ulivyo kwanza, halafu jifikirie kuwa hii pumbwa uliyoandika inakusaidiaje wewe kwa kulalamikaaaaaaaaaaaaaaa.

Naona ulikuwa unavinywa umevikumbuka hata ya chupa ya cognac huna...eeeeeeh pigika acha uvivu.

Aibu
 
Sahihi kabisaaa. Katiba ya Warioba ndo suluhu. Kama kweli ana nia njema airudishe ile katiba, period. Otherwise itakuwa ni kuuma na kupuliza
 
Jiangalie ulivyo kwanza, halafu jifikirie kuwa hii pumbwa uliyoandika inakusaidiaje wewe kwa kulalamikaaaaaaaaaaaaaaa.

Naona ulikuwa unavinywa umevikumbuka hata ya chupa ya cognac huna...eeeeeeh pigika acha uvivu.

Aibu
ACha mipasho we mwanamke hebu nenda kampikie mumeo futari huko
 
ACha mipasho we mwanamke hebu nenda kampikie mumeo futari huko

Eeeeeeh oyaaaaaa

Nawe upikiwe salama, ule ushibe. Mimi ni mwendo wa kudonoa humu, mwezi mwema huu nafikiri unajua ninachomaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…