Raisi kwanini wanahabari?

Joined
Aug 22, 2014
Posts
51
Reaction score
6
ndugu zanguni minaomba ufafanuzi kuhusu raisi kuongea na wazee badala ya wanahabari.nijuavyo mimi wakati wa raisi jk nyerere.kukiwa na jambo linalotatiza nchi arikuwa anaita wanahabari anawereze baada ya hapo wanamuriza maswali.vipi leo rais anahutubia bila kuurizwa maswali.naomba kunijuza
 
Tangu ln kikwete akawa na uwezo wa kujibu maswali? Na hiyo phd (Pur Head Danage) yake ya the the the the.....hahaaaa......
 
Anajua wazee wanawaza pilau tu
 
ndugu zanguni minaomba ufafanuzi kuhusu raisi kuongea na wazee badala ya wanahabari.

Unawapigia debe waandishi wenzio kwa ajili ya bahasha aiseee.Waandishi kweli mnapenda tubahasha.Mara ingine hata mkipewa hamwendi kuandika kwenye vigazeti vyenu au kutangaza kwenye radio na TV zenu yaani hela inakuwa imeenda bure.

Kukutana na waandishi wa habari haina maana kuwa habari zitatoka au wewe hilo hulijui? Kuna wakati ukitaka zitoke pamoja na kumpa mwandishi bahasha bado unatakiwa kwenda kumhonga mhariri ili azitoe.Upuuzi mtupu.
 
Unawapigia debe waandishi wenzio kwa ajili ya bahasha aiseee.Waandishi kweli mnapenda tubahasha.Mara ingine hata mkipewa hamwendi kuandika kwenye vigazeti vyenu au kutangaza kwenye radio na TV zenu yaani hela inakuwa imeenda bure.

Ndio mwisho wa hakili za kiccm zilipo fikia kuwaza rushwa tu kama kwenye vile vibuyu venu
 
wazee wameshajichokea ubongo umechoka kudigest mambo pale wamepigwa posho ya nauli wametoka pale vifua mbele kwenye vijiwe vya kahawa wameshasahau JK kaongea nni
 
Kajifunze kwanza lugha ya kiswahili ndipo uje kujifunza hayo mengine
 
wazee wameshajichokea ubongo umechoka kudigest mambo pale wamepigwa posho ya nauli wametoka pale vifua mbele kwenye vijiwe vya kahawa wameshasahau JK kaongea nni
Labda babu yenu Slaa mzinifu ndo kajichokea hadi ubongo kutokana na kuwaza zinaa muda wote
 
HOJA SI KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI NA KURUHUSU MASWALI, HAPA HOJA NI UWEZO WA KUJIBU MASWALI NA MAJIBU YAKE UWE NAYO. Sasa Kama Hana Majibu Unataka Aulizwe Maswali Ili Ajibu Nini? Mfano Hv Akiulizwa Kwanini Uchunguzi Uanze Kufanyika Huku Muhogo Akiwa Ndani Ya Ofisi? Unataka Hopo Ajibu Nini?
 
katiba ipi ambayo inaelekeza Rais akitaka kuongea lazima azungumze na wanahabari mbona nyerere alikuwa anafanya hivi kukumuuliza? au hata kuzaliwa ulikuwa bado umezaliwa pamoja na ukawa.
 
Tuondolee hapa manabii wenu wazinzi na wachawi hawatuhusu.
 
kwanza alishaongea na wanahabari zaidi ya mara tano ila wewe kwa ujinga wako unataka kupotosha makusudi tu.
 
Labda babu yenu Slaa mzinifu ndo kajichokea hadi ubongo kutokana na kuwaza zinaa muda wote
​hii ndo shida ya kuwa ka mchepuko ka mume wa mtu....jana naona umetolewa nje kutoka out jamaa katulia na familia yake hasira unataka kumalizia humu JF, utapigan sanaaaa ngumi na keyboard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…