Raisi Huyu!

Sijui kama alikuwa na muda na uwezo wa kufanya hivyo. Kama nikipata picha akifanya vitu hivyo basi nitaamini vinginevyo ni kuanguka anguka tu.
Nadhani umri unamruhusu, kwani Dr alipokuwa Monduli alikuwa hafanyi vitu hivi??
 
Wewe ni nani?Acha kutishia watu hapa
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu
 
mi na wewe nani ameanza kujipendekeza?? sio wewe uliyeanza kuni quote?? hizo tabia zenu za kumdhalilisha rais kwa kumwita dhaifu ipo siku mtauona ungangari wake

Mkuu naona umepotea mno ngoja hiyo siku ifike
 
Father in All, my dear friend. The language in that red statement is not good at all. It is true that our dear president is weak in running the government and in terms of health status but it is not good to say that "Jitu linaanguka anguka hovyo utadhani lina kifafa." Try to put yourself in Kikwete's position and somebody utter same statement to you. How would you feel!
 
Jitu is ambiguous. It can mean the powerful or worst. It depends on how you muse about it. I respect our president. If I were the one to dispice him the words I'd use could kill you. Again, what is wrong to say that somebody falls just liek anepileptic person?
 
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu

Hahahah...anatukuzwa na nani???
 
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu

Vitisho hapa sio mahala pake, hata uwe nani usitake kutisha watu Bwana!!!!! Ebo.

Tiba
 
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu
Weeee! DR JKilaza. zake push-ups za kitandani, ndo maana ana watoto na wanawake lukuki.Haya leta gharama itakayo nigarimu, naona unatokwa povu jeupe.:confused2:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…