RAISI ALIYEJISIFU KWA UUME WAKE

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,661
Reaction score
23,643
RAISI ALIYEJISIFU KWA UUME WAKE

Kuna mengi watu hujisifu nayo lakini katika majisifu hayo huwa na mipaka yake kwa baadhi ya mambo lakini hiyo sio kwa Lyndon B. Johnson Raisi wa 36 wa Marekani

Unaambiwa raisi huyo wa Marekani alikuwa ni mtu wa sifa saana hasa kwenye uume wake ni kitu alichokuwa na ujisifu nacho saaana hata kwenye mambo ambayo yapo serious
Kwa mfano wakati Nchi ya marekani ikiwa inapigana vita na Vietnam...baadhi ya waandishi walimuhoji wakitaka kujua ni nini kilichopelekea Marekani kuingia vitani na Vietnam.? Unajua aliwajibuje??
Alifungua zipu kisha akawaonyesha uume wake πŸ˜€πŸ˜€ kisha akawaambia ni kwa sababu ya hii🀣🀣

Lakini masifa hayo hayakuanza baada ya kuwa raisi bali inadaiwa kuwa ni tokea anakuwa alikuwa akijisifu juu ya ukubwa wa uume wake hadi akaipa jina la JUMBO ( kitu kikubwa saaana/ chenye ukubwa wa ziada)

Unaambia kipindi yupo chuoni hata akipata Manzi kwenda kulala nae basi akitoka atawahadithia washkaji zake kuwa leo jumbo ilikuwa ipo mazoeziniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini pia tunajua kuwa labda tunapokuwa msalani halafu ghafla akaingia mtu mara nyingi tunawahi kujisitiri lakini hiyo sibkwa Bwana Lyndon ...Baadhi ya vyanzo vinasema moja ya vitu vya kushangaza ni kuwa aliwahi kushika uume wake kisha akamuuliza mtu aliyeingia ghafla chooni
ULISHAWAHI KUONA KITU KUBWA KAMA HILI???

Je kwa sifa ya huyu RAISI angekuwa kipind hichi cha insta na tiktok angepewa jina gani??
 
Hanishindi mimi ni vile tu sijisifu
 
Uwenayo kubwa uwe nayo ndogo kikubwa ufike kileleni, mambo mengine ni ubatili tu!
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜›πŸ˜œπŸ€ͺπŸ˜πŸ’―πŸ’«
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…