Rais wetu anawasalimiaaa

Uchaguzi wa mwaka 2015 Huyo ndo niliyemchagua.sijasema rais wa Tanzania tumia akili yako vizuri.
 
Kazi ipo!

Isingekuwa "kubambikizwa" tuhuma za ufisadi na kuchafuliwa sana kwa zaidi ya miaka 10, huyu mzee sijui angekuwa wapi. Inasikitisha sana!
 
A selected president with majority,hakika Magu utajibu mbinu za ushindi wa bao la mkono na Team yako kwa Allah.
 
Kilaza ni kilaza hana jipya kuwa rais hewa kweli nyumbu ndio wako hivyo
 
Kazi ipo!

Isingekuwa "kubambikizwa" tuhuma za ufisadi na kuchafuliwa sana kwa zaidi ya miaka 10, huyu mzee sijui angekuwa wapi. Inasikitisha sana!
Akizike hicho chama kilichomchafua......maana wamempa nafas tayari ya kuandaa mazishi....anayo nafas kulipa fadhila njema ya Chadema kwa Lowasa .........Fadhila kwa akina Mbowe.......fadhila kwa akina Lissu na akina Lema ..........ati..."Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi".......Lema bwana .....siasa sio aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…