ki ukweli,me ni CHADEMA damu,bt nina akili timamu! Sitachagua chama hata siku moja,nitachagua mtu,hiyo ndo falsafa yangu!
In Magufuli,I trust! Na ndiye pekee ninayeweza kumpigia kura pale MAGAMBA kwa sasa,hzo ishu za NHC hata sijali,najali utendaj kazi wake,naamin pa1 na kwamba Jk ni fisadi,angeplay role yake kama rais ipasavyo,asingelaumiwa kias hiki!