Rais wangu sasa namtazama kama Rais Mstaafu wa Marekani, George W. Bush

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,695
149,920
Ukiyakumbuka ya aliekuwa Raisi wa Marekani, bwana George W.Bush na ukiyatazama ya huyu wetu wa sasa,una conclude vipi?Uta-conclude kama mimi au vinginevyo?
 
Inawezekana ndio maana mama mkubwa Janet alikataa kushiriki kampeni kwa vile ndiye mtu anayemfahamu vilivyo jamaa. Kimya chake ni kama alikuwa anasema "hamumjui huyo shauri yenu! Mie sitaki lawama baadae kuwa nilishiriki kuwashawishi"
 
Hilo nalo nenoo.....
 
Lowasa,aliwaambia nitaondoa nYumba za nyasi mjenge za mabat mkakataa

Watu wanasema serikal inalinda watu wake Kweli?

Usalama ni pamoja na kuwapa makaz na ulinz
NYerere alipounda villagelization act aliwapeleka watu vijijin na kuwapa mitaji hata wa mjin Kwa kuwakamata kama wazururaj
 
Ukiyakumbuka ya aliekuwa Raisi wa Marekani, bwana George W.Bush na ukiyatazama ya huyu wetu wa sasa,una conclude vipi?Uta-conclude kama mimi au vinginevyo?

Na ukitazama ya Augustino Lyatonga Mrema na ukiyatazama ya Lowassa uta-conclude nini?
 
ccm Wana laana ya kurithi, kuanzia mjumbe wa nyumba10 hadi juu kabisa. Yanajiona miungu watu ndio maana tangu uchaguzi wa Sm 2014 mtaa wangu tumeyang'oa kuanzia wajumbe hadi m/kiti, halafu uchaguzi mkuu 2015 udiwani/ubunge na rais cdm ya urais wameniibia.
 
Rais G.bush alifanya maamuzi ambayo walivunja sheria ya nchi yake na intenational law (Torture,Kidnapping na illegal detension). lakini Rais Dr. Magufuli mpaka sasa anafuata sheria na kutumia power alizopewa vinzuri.
 
Si mlisema seriKali haina meno?sasa tulieni tulii muone meno yanavyofanyakazi yake,na mkiona wanalalamika sana mjue ndio wale wale mafisadi
 
Back
Top Bottom