RAIS WA WANYONGE

indundidotcom

JF-Expert Member
Mar 4, 2017
231
226
nakumbuka sera ya "rais wa wanyonge" ndiyo ilinipa nguvu kuja kumwona jukwaani dec 2015, ni miez kadhaa tu tangu nimalize chuo kikuu nikitumainia namaliza chuo mnyonge nakutana na mnyonge kiongozi NIMEPONA@
cjakAa sana sukAri ukaenda kwa 2000 na zaid
watu wakaachishwa ajira zao hewA
patamu
ikanyanyuka uhakiki mwez june mnyonge kanambia nisubiri miez miwil. . (Leo miaka mi2)
nimeshaelezwa na mama sasa sihitajiki wanahitaji jilani mwanasayansi tu....
hapo washasahau nilipotoka mnyonge.... wananambia nifanye kazi wakati hata wenye vituo vyao hawanipi posho wakijua sina pa kwenda..... eti nijiajir wakati mkopo walinipa robo boom nkalipia karo!!!!! labda tuelezane kaz ipi nifanye kama sio kutakiana dhambi muda huu.....
msilalamike mateja jamaani hawana pa kwenda wanaona watoe streesss maana weng wanaamin pombe inapunguza mawazooo...
tujivunie muda c mrefu tunaenda kuwa na vibaka.. mateja.. majambazi.. WASOMI
tufikr sehemu tuelezane ukwel nchini hali n ngumu na mnyonge mwenzangu amekuwa ni mtu wa kuharibu ajira za vijana Kuriko kutengeneza ajira..... tutaonana 2020 najua wahanga tutakuwa na chama chetu tayari
 
Back
Top Bottom