P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,626 Reaction score 61,279 Aug 7, 2018 #21 Chrizo said: Kumbe sa jamaa mbona kiswahili chake anaunga unga sana Click to expand... Mbwembwe za umakumbusho
Chrizo said: Kumbe sa jamaa mbona kiswahili chake anaunga unga sana Click to expand... Mbwembwe za umakumbusho
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Aug 7, 2018 #22 Ngumu kumwelewa Msomali. Woria Karia
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Aug 7, 2018 #23 Chrizo said: Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea Click to expand... Si kasumba, ni mwanamme wa Dar....swaga zingine za kijinga sana, sasa kujishebedua kama msenge kuna uzuri gani jamani?
Chrizo said: Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea Click to expand... Si kasumba, ni mwanamme wa Dar....swaga zingine za kijinga sana, sasa kujishebedua kama msenge kuna uzuri gani jamani?
Chrizo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 714 Reaction score 792 Aug 8, 2018 Thread starter #24 Pohamba said: Mbwembwe za umakumbusho Click to expand... Unataka kusema na yeye ni miongoni mwa wale wasiojulikana?
Pohamba said: Mbwembwe za umakumbusho Click to expand... Unataka kusema na yeye ni miongoni mwa wale wasiojulikana?
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,790 Aug 8, 2018 #25 mulwanaka said: Acha ubaguzi.....kwani utadaji kazi wake ni mbaya? Ndomaana tutabaki nyuma siku zote matope kila jambo duh Click to expand... ubaguzi maana yake nini?
mulwanaka said: Acha ubaguzi.....kwani utadaji kazi wake ni mbaya? Ndomaana tutabaki nyuma siku zote matope kila jambo duh Click to expand... ubaguzi maana yake nini?
B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 32,670 Reaction score 37,558 Aug 11, 2018 #26 Anaongea vizuri tu kama wenyeji wa Muheza, Tanga. Source: millard ayo
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 Aug 11, 2018 #27 Kwani Manji anajua Kiswahili? Mbona hadi leo analiliwa na jamii fulani ya wapenda soka. Kabumbu halina kabila
Kwani Manji anajua Kiswahili? Mbona hadi leo analiliwa na jamii fulani ya wapenda soka. Kabumbu halina kabila