hassanmushi
Member
- Aug 9, 2013
- 5
- 1
Rais wa Syria amesema Marekani itashindwa vibaya ikidhubutu kuwavamia kijeshi, asisitiza majeshi yake hayahusiki na matumizi ya kemikali.
Rais Ghaddafi naye alisema hivyo hivyo!
Huyu jamaa wamemchelewesha sana, alitakiwa awe ameshapigwa hayo matamko angekua anayatolea shimini au geezani.
Rais wa Syria amesema Marekani itashindwa vibaya ikidhubutu kuwavamia kijeshi, asisitiza majeshi yake hayahusiki na matumizi ya kemikali.
Ata wakimpiga ukweli utabaki palepale kua wanamuonea! Na wao ndo wanayalipua hayo mabomu ya sumu Alafu vyombo vyao vya Habari ndo vinakanaza kueneza propaganda mbaya juu ya Asaad! Wamarekani na Ulaya ni mabeberu Na wanyonyaji na waporaji na wapenda vita! Matukio yote ya vita Dumiani hao hawakosi kua nyuma!
Hata sadaam naye alitoa onyo kwa marekani na osama nae vivyo hivyo
hapa ndo namkumbuka mzee wa kazi George Walker Bush, kazi ingekua imeisha siku nyingi tumesahau
Huyu jamaa wamemchelewesha sana, alitakiwa awe ameshapigwa hayo matamko angekua anayatolea shimini au geezani.
Tumejifunza kutoka somalia, afghanistan, iraq na libya kuwa Marekani imezibadili nchi hizo kutoka nchi za asali na maziwa kuwa nchi za damu, laana, na umaskini. Marekani haina lengo zuri hata kidogo.
Gddhafi R.I.P, osama R.I.P, Sadam R.I.P, sasa huyu nae kama zimo za kumtosha bora akae pembeni
Una uhakika Osama aliuliwa?
unataka nikujibu hili pia??