Rais wa Liberia Sirlief amteua mtoto wake Gavana Benki Kuu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Haya wale wana Mageuzi ambao kila siku wanasema CCM imetawala kwa muda mrefu na kwamba ni lazima Upinzani uingie, sasa Liberia inatuonyesha kwamba kuchagua Upinzani siyo suluhisho la matatizo kwanza ndiyo kuboronga zaidi, huko Liberia Raisi wa nchi hiyo kafanya maajabu kamteua mtoto wake wa Kiume kuwa Gavana wa Benki Kuu!
Swali ni kwamba leo hii chadema wangekuwa madarakani hali ingekuwaje kwenye teuzi zao rejea jinsi walivyopeana Ubunge wa viti maalumu kwa mahawala, ndugu na marafiki na kuwaacha wenye weledi na uhodari kazi, rejea jinsi fisadi Lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea Uraisi ndani ya masaa mawili, rejea Uwenyekiti wa Mbowe usio na kikomo na wala hakuna anayejua ni lini Uchaguzi utafanyika!

MONROVIA (Reuters) - Liberia's central bank board has elected the son of Nobel Peace Prize winning President Ellen Johnson Sirleaf as its interim executive governor, bank sources said on Wednesday.
Charles Sirleaf, formerly a deputy governor who has worked for the bank since 2004, will occupy the post for an undefined interim period. The previous head, Joseph Mills Jones, left to prepare his candidacy for a presidential election in the West African country due to take place in 2017
President Johnson Sirleaf, who has strong ties with Washington and is credited with helping the country recover from a bloody civil war that ended in 2003, must step down next year due to a two-term limit.
She is due to decide on a permanent successor to Jones, to steer Liberia's economic recovery after two years in which the country endured an Ebola epidemic and a collapse in the price of iron ore, its major export earner.

A source close to the presidency confirmed the temporary appointment, without giving an indication of how long he would remain.

Some critics accuse Johnson Sirleaf of appointing family members and other allies to key posts throughout her presidency in order to consolidate her position.

Another one of her sons, Robert, was both chairman of the National Oil Company of Liberia and senior adviser to the president until he resigned in 2013. Fumba Sirleaf, her stepson, is the head of the National Security Agency.

"This (appointment at the central bank) is unfair. It is not about qualifications, but about expediency," said Emmanuel Gonquoi, former chairman for the coalition of civil society in Liberia and a political commentator.

However, central bank officials stressed that Charles Sirleaf was a suitable choice.
"Charles is competent and qualified for the position," said one, who asked for anonymity since he is not qualified to speak with the media.

Son of Liberian president chosen as interim central bank chief | Top News | Reuters

Pamoja na mapungufu yake yote lkn CCM haiwezi kufanya huu upuuzi kamwe!
 
Huyo jamaa kawekwa na Board ya Bank..na sio mama yake directly.

Hao Board members wanataka kupiga hela tu kimtindo na kwa kuwa dogo atakuwepo hapo, wanajua hawatashughulikiwa ipasavyo (na mana yake) in case kinasanuka.
 
Mleta post kapanic tu. Mbona huyo kateuliwa na bodi ya benki kuu? Na ukizingatia jamaa ana sifa zote? Au mama akishakuwa rais basi wanafamilia wanapoteza sifa za kushika nafasi nyeti?
 
Kumbe Barbarosa kidhungu kinakuchenga kidogo?!
Charles Sirleaf amekuwa deputy governer tangu 2004; sasa CENTRAL BANK BOARD sio Rais Sirleaf imemteua kuwa Interim Governer (Gavana wa muda wa mpito)!
Afteral kama yuko qualified kuna shida
gani? Tofauti ya wenzetu na hapa Ccm inajaza tra na not mijitu isiyo na sifa ili ikaibe tu! Wenzetu wanapractice MERITOCRACY wakati cc hapa ni gia ya KLEPTOCRACY; tunaajiri wezi wa mifukoni kwenye nafasi nyeti kwa sababu tu ni ndugu zetu!
 
,,Another one of her sons, Robert, was both chairman of the National Oil Company of Liberia and senior adviser to the president until he resigned in 2013. Fumba Sirleaf, her stepson, is the head of the National Security Agency"

,,A source close to the presidency confirmed the temporary appointment, without giving an indication of how long he would remain"
 
Mleta post kapanic tu. Mbona huyo kateuliwa na bodi ya benki kuu? Na ukizingatia jamaa ana sifa zote? Au mama akishakuwa rais basi wanafamilia wanapoteza sifa za kushika nafasi nyeti?

,,A source close to the presidency confirmed the temporary appointment, without giving an indication of how long he would remain"
Mleta post kapanic tu. Mbona huyo kateuliwa na bodi ya benki kuu? Na ukizingatia jamaa ana sifa zote? Au mama akishakuwa rais basi wanafamilia wanapoteza sifa za kushika nafasi nyeti?
 
Huyo jamaa kawekwa na Board ya Bank..na sio mama yake directly.

Hao Board members wanata
Kumbe Barbarosa kidhungu kinakuchenga kidogo?!
Charles Sirleaf amekuwa deputy governer tangu 2004; sasa CENTRAL BANK BOARD sio Rais Sirleaf imemteua kuwa Interim Governer (Gavana wa muda wa mpito)!
Afteral kama yuko qualified kuna shida
gani? Tofauti ya wenzetu na hapa Ccm inajaza tra na not mijitu isiyo na sifa ili ikaibe tu! Wenzetu wanapractice MERITOCRACY wakati cc hapa ni gia ya KLEPTOCRACY; tunaajiri wezi wa mifukoni kwenye nafasi nyeti kwa sababu tu ni ndugu zetu!

ka kupiga hela tu kimtindo na kwa kuwa dogo atakuwepo hapo, wanajua hawatashughulikiwa ipasavyo (na mana yake) in case kinasanuka.

,,Another one of her sons, Robert, was both chairman of the National Oil Company of Liberia and senior adviser to the president until he resigned in 2013. Fumba Sirleaf, her stepson, is the head of the National Security Agency
"

,,A source close to the presidency confirmed the temporary appointment, without giving an indication of how long he would remain"
 
Chuki zako kwa CHADEMA hadi unachakachua hoja ya msingi.Rudia kuiweka hoja yako vizuri,kisha ondoa mawazo kwamba kila memba humu ana kadi ya chama.
 
Wewe nina hadi unipangie nini cha kuandika na vipi niandike?
 
Kuichaguwa chadema ingekuwa kulia nakusaga meno ila Mungu ameweza sikia kilio chetu Dk Maguful ana paa kama B52
 
Haya wale wana Mageuzi ambao kila siku wanasema CCM imetawala kwa muda mrefu na kwamba ni lazima Upinzani uingie, sasa Liberia inatuonyesha kwamba kuchagua Upinzani siyo suluhisho la matatizo kwanza ndiyo kuboronga zaidi, huko Liberia Raisi wa nchi hiyo kafanya maajabu kamteua mtoto wake wa Kiume kuwa Gavana wa Benki Kuu!
Swali ni kwamba leo hii chadema wangekuwa madarakani hali ingekuwaje kwenye teuzi zao rejea jinsi walivyopeana Ubunge wa viti maalumu kwa mahawala, ndugu na marafiki na kuwaacha wenye weledi na uhodari kazi, rejea jinsi fisadi Lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea Uraisi ndani ya masaa mawili, rejea Uwenyekiti wa Mbowe usio na kikomo na wala hakuna anayejua ni lini Uchaguzi utafanyika!

MONROVIA (Reuters) - Liberia's central bank board has elected the son of Nobel Peace Prize winning President Ellen Johnson Sirleaf as its interim executive governor, bank sources said on Wednesday.
Charles Sirleaf, formerly a deputy governor who has worked for the bank since 2004, will occupy the post for an undefined interim period. The previous head, Joseph Mills Jones, left to prepare his candidacy for a presidential election in the West African country due to take place in 2017
President Johnson Sirleaf, who has strong ties with Washington and is credited with helping the country recover from a bloody civil war that ended in 2003, must step down next year due to a two-term limit.
She is due to decide on a permanent successor to Jones, to steer Liberia's economic recovery after two years in which the country endured an Ebola epidemic and a collapse in the price of iron ore, its major export earner.

A source close to the presidency confirmed the temporary appointment, without giving an indication of how long he would remain.

Some critics accuse Johnson Sirleaf of appointing family members and other allies to key posts throughout her presidency in order to consolidate her position.

Another one of her sons, Robert, was both chairman of the National Oil Company of Liberia and senior adviser to the president until he resigned in 2013. Fumba Sirleaf, her stepson, is the head of the National Security Agency.

"This (appointment at the central bank) is unfair. It is not about qualifications, but about expediency," said Emmanuel Gonquoi, former chairman for the coalition of civil society in Liberia and a political commentator.

However, central bank officials stressed that Charles Sirleaf was a suitable choice.
"Charles is competent and qualified for the position," said one, who asked for anonymity since he is not qualified to speak with the media.

Son of Liberian president chosen as interim central bank chief | Top News | Reuters

Pamoja na mapungufu yake yote lkn CCM haiwezi kufanya huu upuuzi kamwe!
Mkuu wengine hata tenda zote za vihalmashauri vidogo kama Hai wamevikomba vyote,sijui wangepewa nchi si wangeiuza.
 
Mleta mada ukilala ukiamka chadema hayo madudu yaliyifanywa na ccm for thé more than 50 yrs passed hauyaoni nyie ndo mnaharibu siasa za africa wote tunaonekana wale wale .nenda kampongez
M7
 
Kuna mwingine anajiita msemaji wa uongo,yeye ni lowassa tu kila siku.ccm viongozi wakuu wamejaa serikalini,wao na wake zao.
 
,,Another one of her sons, Robert, was both chairman of the National Oil Company of Liberia and senior adviser to the president until he resigned in 2013. Fumba Sirleaf, her stepson, is the head of the National Security Agency"

,,A source close to the presidency confirmed the temporary appointment, without giving an indication of how long he would remain"
All are qualified technocrats in their own right and respective professions; unlike George Weah!
 
ni ndugu zetu![/QUOTE]Shida yake hao members wa board watakuwa wameteuliwa na Rais. Kwa vyovyote vile kuna conflict of interest. Huyo mama si alikuwa UN miaka kibao! Atashindwa vp kulijua hilo. Africans ni shida tu.
Kumbe Barbarosa kidhungu kinakuchenga kidogo?!
Charles Sirleaf amekuwa deputy governer tangu 2004; sasa CENTRAL BANK BOARD sio Rais Sirleaf imemteua kuwa Interim Governer (Gavana wa muda wa mpito)!
Afteral kama yuko qualified kuna shida
gani? Tofauti ya wenzetu na hapa Ccm inajaza tra na not mijitu isiyo na sifa ili ikaibe tu! Wenzetu wanapractice MERITOCRACY wakati cc hapa ni gia ya KLEPTOCRACY; tunaajiri wezi wa mifukoni kwenye nafasi nyeti kwa sababu tu ni ndugu zetu!
]Shida yake hao members wa board watakuwa wameteuliwa na Rais. Kwa vyovyote vile kuna conflict of interest. Huyo mama si alikuwa UN miaka kibao! Atashindwa vp kulijua hilo. Africans ni shida tu.
 
Back
Top Bottom