Ataachaje kuipongeza YANGA wakati anatambua kuwa hao ndio WAKIMATAIFA? Ila utasikia wale Chura matopen FC wakisema Raisi wa FiFA anaibeba YANGA
Rais wa Fifa, Gianni Infantino ameipongeza Yanga kutokana na hatua iliyofikia.
Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza hatua ya makundi au robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho iliyo chini ya Shirikisho la Soka la Afrika (Caf).
Hivi punde, tutawaletea taarifa kamili kuhusiana na hilo.
ameipongeza au hajaipongeza?Acheni unafiki nyie Yanga amewapongeza kwa kuchukua kombe la ligi kuu siyo kufuzu hatua ya makundi
...yani ww mwana msimbazi halafu na mipasho juu,nna shaka!Japo mimi ni mwana msimbazi lakini Watani zetu mwaka huu wapo vizuri.....kulikataa hilo ni sawa kujitia presha isiyo na sababu....
...yani ww mwana msimbazi halafu na mipasho juu,nna shaka!