Rais wa afrika

Rais wa afrika

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Tumeshuhudia baadhi ya vifo vya viongozi, wanakuwa bado wanakubalika japo wamekufa mfano Hugo Chaves, Kuna watu wenzetu wazungu wanawaita Role Model, yaani ni mtu ambaye kwa mtazamo wa kila mmoja wetu tofautitofati anamwona kwamba anatamani kuwa kama yeye na huwa anakubali yale anayoyafanya kwa kiasi kikubwa.

Leo nawaomba Watu wa Jamii Forums tuchangie hii mada ya nani unamuona anafaa kuwa RAIS WA AFRIKA kama Afrika itakuwa moja ukieleza sababu za kumpendekeza mtu huyo!
 
Dr.wilbroad slaa, kwa kuwa ni mbishi hata kwenye ukweli na anayo PhD ya theology.
 
Kama Mandela angekuwa bado ananguvu zake ,ningemchagua yeye kwani waliobaki wote ni wachumia tumbo.
 
Join Date : 6th February 2012
Posts : 66
Rep Power : 371
Likes Received:
1
Likes Given:
0

mpaka leo like 1 tu, kweli kuna kazi
Dr.wilbroad slaa, kwa kuwa ni mbishi hata kwenye ukweli na anayo PhD ya theology.
 
Back
Top Bottom