Rais ulishatangaza matokeo ya chaguzi zetu vipi tena wataka tujiandikishe?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,015
Katika kuonesha kwamba umelishika taifa na humuogopi yeyote hata kujifananisha na malaika. ulishawahi kupayuka mahala.

Ulisema hivi "nikuteue mimi, nikupe nyumba, mshahara na gari " kisha umtangaze mpinzani ameshinda? ulidhani dunia imeishia pale.

Kwa taarifa tu ni kwamba zile hoja kwamba unaminya demokrasia yanakuja kuwa kweli. yani waliomuua Akwilini wapo uraiani wanaoshinda mahakamani ni wengine?

Limeboreshwa daftar la wapigakura bila kutangazwa? unatutukana kisa umenunua ndege kwani umenunua kwa pesa yako? si ndiyo kazi za Rais?

Leo unakuja kuwatisha wakuu wa wilaya na mikoa ili waje na takwimu za uongo
Hatujiandikishi
 
Hivi hii kauli aliitamkia wapi?mwenye uzi hebu aupandishe jamani na mimi nione maana naona nilipitwa na hili
 
Ni nani amekulazimisha ujiandikishe? Acha kujipa self importance, unaweza hata kufa na amini nakuhakikishia Dunia haitasimama!
 
Ni nani amekulazimisha ujiandikishe? Acha kujipa self importance, unaweza hata kufa na amini nakuhakikishia Dunia haitasimama!
Heshimuni maamuzi ya wananchi.
Kama watu hawaheshimiwi hawana haja kushiriki kutokuheshimiwa.
 
Ni nani amekulazimisha ujiandikishe? Acha kujipa self importance, unaweza hata kufa na amini nakuhakikishia Dunia haitasimama!
Kuna aliyekufa dunia ikasimama? Wewe huoni jamaa yako kila siku anahubiri ndege na watu walivyo nyoko hawababaiki wala nini zaidi ya nyinyi waimba kwaya takatifu ya ''Magufuli hapa kazi tu''
 
Back
Top Bottom