Mama anaishi ndoto yake ya kusafiri. Inaelekea asingekuwa mwanasiasa angekuwa conductor wa mabasi au utingo wa malorry ya masafa marefu.
Sasa nani mwenye nyege mshindo za makalio baina ya yetu na wewe.Kwahiyo mnataka afanye nini? Akae tu Dodomaβ¦Mbona mna nyege mshindo
Sasa nani mwenye nyege mshindo za makalio baina ya yetu na wewe.
Epuka kusoma ili ujibu, jaribu kusoma ili uelewe. Wapi kwenye comment imeandikwa asisafiri???
Huchukua kichaa mmoja kumjua mwingine. Hivyo pasi na shaka wewe ni kichaa mwenzangu.Inaonekana wewe ni kichaa nikuache
Hakuna chimbo la madini?Mkoa wa Tabora vijana na kina mama wapo hoi kwa ufukara...kina baba wao ni pombe za kienyeji kwa kwenda mbele ili maisha yasisimame kabisa....ni mkoa ulio nyuma sana kimaendeleo ingawa wamekuwa watiifu kwa chama cha mapinduzu miaka nenda rudi.
Mbao za mninga zimeisha, kilimo cha tumbaku ni hoi bin taabani.. sasa hivi wameambiwa wajaribu korosho baada ya alzeti nayo kushindikana.
Kifupi kuishi Tabora ni kusign kitabu cha umaskini.
Umenikumbusha enzi za jiweSasa TABORA ni fursa yenu kumpa mkubwa wa nchi changamoto zenu za kutokuwa na kasi ya maendeleo kama mikoa mingine,majungu na fitna muweke pembeni Mkoa usonge mbele.
Tabora inastahili kuwa mbali sana, wakubwa wa nchi hii walisoma Tabora,Tabora inaunganisha mikoa kadhaa, ni njia panda ya kwenda Kigoma,Katavi na Rukwa na Mbeya vile vile inapakana na Mkoa wa Shinyanga na Singida!
DahMkoa wa Tabora vijana na kina mama wapo hoi kwa ufukara...kina baba wao ni pombe za kienyeji kwa kwenda mbele ili maisha yasisimame kabisa....ni mkoa ulio nyuma sana kimaendeleo ingawa wamekuwa watiifu kwa chama cha mapinduzu miaka nenda rudi.
Mbao za mninga zimeisha, kilimo cha tumbaku ni hoi bin taabani.. sasa hivi wameambiwa wajaribu korosho baada ya alzeti nayo kushindikana.
Kifupi kuishi Tabora ni kusign kitabu cha umaskini.
Sijawah hata kumsikiliza bi samia anafanya nn, aap na kwa nani.Kwa mujibu wa RC Batilda,Rais wa JMT Samia S.Hassan anatarakia kufanya ziara ya kikazi mkoani Tabora.
====
TAARIFA:
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Buriani ametangaza Rasmi Kuwa Rais Samia Suluhu Hassan Kuanza Ziara ya Siku Tatu Mkoani Tabora Kuanzia Mwezi Mei 17-05-2022
View attachment 2223046
Watanzania buana!!! Kwahiyo mnataka akae ofisini asifanye kazi za wananchi na kukutana na wananchi! Kama kuku wa kideli??Inaonekana Maza alipokuwa mdogo alikuwa anapenda sana kula miguu ya kuku.
Shida zako ni zako sasa unatuambia sisi tukusaidie nini?Sijawah hata kumsikiliza bi samia anafanya nn, aap na kwa nani.
Muhimu kwangu MAGUFULI siyo raisi wa TANZANIA
asante mungu
Ameshakaribia Tabora tayari πKaribu Rais wetu Tabora.
wanatabora tunakupenda sana.
Huko ndiko akili yako ilipolalia. Huna la maana unalolifikiria.Hivi huyu dada kaolewa?
Vijana wenzie kipindi hicho watakuwa walifaidi sana utelezi
Huko ndiko akili yako ilipolalia. Huna la maana unalolifikiria.
Agizo la mh.Rais πSijawah hata kumsikiliza bi samia anafanya nn, aap na kwa nani.
Muhimu kwangu MAGUFULI siyo raisi wa TANZANIA
asante mungu