inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,807
- 22,633
Kumbukumbu zangu zinaniambia alisilimu akaolewaHivi huyu dada kaolewa?
Vijana wenzie kipindi hicho watakuwa walifaidi sana utelezi
Wivu tuMama anaishi ndoto yake ya kusafiri. Inaelekea asingekuwa mwanasiasa angekuwa conductor wa mabasi au utingo wa malorry ya masafa marefu.
😆😆🤣🤣🤣🙌Mama anaishi ndoto yake ya kusafiri. Inaelekea asingekuwa mwanasiasa angekuwa conductor wa mabasi au utingo wa malorry ya masafa marefu.
Tuliza nya kijana. Wapi kuna malalamiko. Tatizo mnajitia kupenda sana kupelekea kutetea hata pasipohitaji utetezi.Akisafiri nje ya nchi maneno ooh afanye ziara nchini akitembelea ndani ya nchi maneno. Mwacheni Rais wetu achape kazi, nawe subiri zamu yako au ya ndugu yako.
Kunywa Heineken 4 kakaAkisafiri nje ya nchi maneno ooh afanye ziara nchini akitembelea ndani ya nchi maneno. Mwacheni Rais wetu achape kazi, nawe subiri zamu yako au ya ndugu yako.
Na kasauti kake ka kitoto kitotoHivi huyu dada kaolewa?
Vijana wenzie kipindi hicho watakuwa walifaidi sana utelezi
Tushamzoea..anazuga ka ziara kamoja nchini zeni mwezi ulaya na marekani.Akitoka hapo anaenda nje
Noma SanaaRais hataki mabango tafadhali!, mabango yanamsumbua sana rais wetu! Achana na hiyo kitu jamani, mkibahatika akawatembelea, msidhubutu kuonyesha bango
Sasa TABORA ni fursa yenu kumpa mkubwa wa nchi changamoto zenu za kutokuwa na kasi ya maendeleo kama mikoa mingine,majungu na fitna muweke pembeni Mkoa usonge mbele.ASANTE KWA TAARIFA
Tunamkaribisha
Huku Wanyamwezi ni wakarimu Sana !
Atapewa na asali ya nyuki wa Tabora alambe!
Karibu MAMA!
Mna kazi kweri kweriMama anaishi ndoto yake ya kusafiri. Inaelekea asingekuwa mwanasiasa angekuwa conductor wa mabasi au utingo wa malorry ya masafa marefu.
Nlikuwa na chat na wakenya fulani mahali, wananiambia wabongo watu wa kulalamika sana na kulialia tuLicha ya uzee wote huo bado unawaza ngono tuu?
Walimwengu hebu punguzeni mahaba ya kizandiki ya kutetea hata pasipohitaji utetezi. Unajua hasa maana ya kulalamika? Hebu soma tena hiyo comment yangu halafu useme wapi nilipolalamika. Acheni basi kujitwisha utetezi usiohitajika.Mna kazi kweri kweri
Asinge safiri mngelalamika pia
Ova
MkuuSasa TABORA ni fursa yenu kumpa mkubwa wa nchi changamoto zenu za kutokuwa na kasi ya maendeleo kama mikoa mingine,majungu na fitna muweke pembeni Mkoa usonge mbele.
Tabora inastahili kuwa mbali sana, wakubwa wa nchi hii walisoma Tabora,Tabora inaunganisha mikoa kadhaa, ni njia panda ya kwenda Kigoma,Katavi na Rukwa na Mbeya vile vile inapakana na Mkoa wa Shinyanga na Singida!
😆utelezi