Nani kakwambia sielewi?
Sielewi according to wewe unavyotaka?
Naelewa navyotaka mimi,wewe ni mtoa mada,uelewa ni wa kwetu haukuhusu!
Kutuelekeza tukufate unavyotaka wewe ni useless!
Tuko darasani hapa?
Na akipunguza speed kwani ni lazima wa catch up anavyotaka yeye?
Kuelewa ni uamuzi binafsi wa mtu wala sio wako
Utapunguza speed utakavyo,kama ameamua kuelewa kinyume na unavyotaka wewe huna cha kumfanya!
Ndio maana nakwambia,usitupangie jinsi ya kuelewa,ni uamuzi wetu tuelewe vipi na sio unavyotaka wewe!