Rais Samia kuwaapisha Viongozi walioteuliwa, leo Februari 9, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 9, 2026, anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni katika hafla itakayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, viongozi hao ni Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Makatibu Tawala wa Mikoa, Manaibu Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango pamoja na Balozi.

 
Mie nnachojua hatuna rais, oktoba 29 watz hawakujitokeza kutoka kwenda kupiga kura!
Sasa huyo unayemzungumzia ni rais wa wasafi, wasanii au wa mauaji?!
 
Mie nnachojua hatuna rais, oktoba 29 watz hawakujitokeza kutoka kwenda kupiga kura!
Sasa huyo unayemzungumzia ni rais wa wasafi, wasanii au wa mauaji?!
Marekani, AU, SADCC na taasisi nyingine za kimataifa zinamtambua SSH kuwa Rais, wewe kidampa endelea kususa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…