Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,021
- 837
Mkuu shule inatisha, haina milango wala madilisha wala sakafu,ina miaka zaidi ya 40.[emoji2][emoji2][emoji2]Huo ni mtaji wa CCM kuombea kura mkuu
Sasa kama shule ipo hivyo unafkili watu wanaoga nasabuni uko? Naunakuta huwaambii kitu kuhusu CCMMkuu shule inatisha,haina milango wala madilisha wala sakafu,ina miaka zaidi ya 40.[emoji2][emoji2][emoji2]
R na L ulizipiga sadakalaweMkuu shule inatisha,haina milango wala madilisha wala sakafu,ina miaka zaidi ya 40.[emoji2][emoji2][emoji2]
Nikili kuwa dumila ni mji mdogo unaopatikana wilaya ya kilosa ambao kwa miaka ya hiv kalibuni umekuwa kwa kasi sana,ukichagizwa na uwepo wa kiwanda cha sukari umbali wa km kama 30 hiv cha Mkulazi holding campany ambacho i nazan alisaidia sikumbuki,SAMIA na ww njoo na yako mama.
Kama ilivyo SUKARI ndivyo ilivyo KARIBU.Nikili kuwa dumila ni mji mdogo unaopatikana wilaya ya kilosa ambao kwa miaka ya hiv kalibuni umekuwa kwa kasi sana,ukichagizwa na uwepo wa kiwanda cha sukari umbali wa km kama 30 hiv cha Mkulazi holding campany ambacho
Magufuri alikuja na sera ya kupambana madawati nazan alisaidia sikumbuki,SAMIA na ww njoo na yako mama.
'nikapita shule moja inayoitwa Kwambe ambayo iko ndani ya kata ya Dumila, Mita 15 tu kutoka barabara kuu ya Dodoma, mita 15 hadi 20 (META)', unauhakika na hizo mita? Kwahiyo shule imo ndani ya eneo la barabara, hebu kapime tena.Nikiri kuwa Dumila ni mji mdogo unaopatikana wilaya ya Kilosa ambao kwa miaka ya hiv kalibuni umekuwa kwa kasi sana, ukichagizwa na uwepo wa kiwanda cha sukari umbali wa kama kama 30 hivi cha Mkulazi holding campany ambacho tunaambiwa ndio lengo la safari yake kule.
Wiki iliyopita nilikwenda kule eneo moja linalopatikana kule maana kuna madini eneo flani linaitwa inyunywe umbali wa km 16 kutoka dumila mjini, aise katika pitapita zangu nikapita shule moja inayoitwa Kwambe ambayo iko ndani ya kata ya Dumila, Mita 15 tu kutoka barabara kuu ya Dodoma, mita 15 hadi 20 (META).
Rais na viongozi wote wanapita hapo muda wote, yani kwa ukalibu huo hata waziri wa TAMISEMI akinywa maji ndani ya gari wanafunzi wakiwa makini wanaweza kumuona.
Jambo la ajabu mno na kushangaza nilikuta shule ile ina watoto wa kifugaji na wakulima, ndugu zangu shule ni chakavu, miundombinu mibovu, shule ina vyoo visivyo na milango wa bati, hilo halikuwa shida, shule nzima ina madawati 20.[emoji2][emoji2][emoji2].
Niliuliza kwa watu walio kuwa pale mmoja alidai shule ile ina wanafunzi kalibu 500 hivi. Nyie viongozi kuanzia wilaya nzima ya kilosa, mkoa mzima wa Morogoro na wengine shule hiyo hamuioni, au sababu ni shule ya wafugaji wengi?
Nashauri viongozi wa eneo hilo na Rais Samia utakuwa eneo hilo shule hiyo ni vyema ikalekebishwa, mazingira sio mazuri kabisa, saidieni kizazi hicho na jamii hiyo.
Magufuli alikuja na sera ya kupambana madawati nadhani alisaidia sikumbuki, SAMIA na wewe njoo na yako mama.
'nikapita shule moja inayoitwa Kwambe ambayo iko ndani ya kata ya Dumila, Mita 15 tu kutoka barabara kuu ya Dodoma, mita 15 hadi 20 (META)', unauhakika na hizo mita? Kwahiyo shule imo ndani ya eneo la barabara, hebu kapime tena.
Kiande kingine hiki huku.Suala la mawadawati na hata miundombinu ya shule serikali imeendelea kuboresha na hata kujenga mipya.serikali ya Rais samia imekuwa ikitengeneza madawati mengi sana kila mwaka tangia ameingia madarakani.imejenga pia vyumba vya madarasa vya kutosha nchi nzima.ikumbukwe kuwa muda siyo mrefu serikali imetoka kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini lakini pia inakwenda kuongeza vyumba vingine vya madarasa zaidi ya elfu moja.kwa hiyo hivyo elfu moja vitawafikia hata wale ambao walikuwa wamebakia na upungufu wa vyumba vya madarasa.
Pia serikali imetenga pesa nyingi sana kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule ambazo miundombinu yake imechakaa kutokana na kukaa muda mrefu pasipo ukarabati. Ni katika mpango huo ambapo hata shule kama hiyo unayoitaja itafikiwa na mpango huo wa serikali yetu Sikivu chini ya Rais samia.
Suala la mawadawati na hata miundombinu ya shule serikali imeendelea kuboresha na hata kujenga mipya.serikali ya Rais samia imekuwa ikitengeneza madawati mengi sana kila mwaka tangia ameingia madarakani.imejenga pia vyumba vya madarasa vya kutosha nchi nzima.ikumbukwe kuwa muda siyo mrefu serikali imetoka kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini lakini pia inakwenda kuongeza vyumba vingine vya madarasa zaidi ya elfu moja.kwa hiyo hivyo elfu moja vitawafikia hata wale ambao walikuwa wamebakia na upungufu wa vyumba vya madarasa.
Pia serikali imetenga pesa nyingi sana kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule ambazo miundombinu yake imechakaa kutokana na kukaa muda mrefu pasipo ukarabati. Ni katika mpango huo ambapo hata shule kama hiyo unayoitaja itafikiwa na mpango huo wa serikali yetu Sikivu chini ya Rais samia.