Rais Samia haropoki hana temper ni vitendo tu

Hivi watu wote tungekuwa na roho ya kike kama wewe ingekuwaje,wako wako wamepewa uwezo Wa kutojinyeanyea kama wewe taga2.

KUMBAF.
 
Kipindi cha nyuma kulikua na rais mmoja akiongea unatamani kujificha uvunguni
 
Cdm wanazingua tatizo la waTz wengi kwa sasa ni Tozo....

Apo wangetingisha mwembe.....!
 
Wewe mpummbafu kweli - imbecile, nenda Mirembe hospital ukatibiwe, akili ya kuku kabisa

Ona kichaa Anapokula ugali na mbofu ya samaki wa pichani. Wewe kama sio mdude? Vipi mkuu mdude. Bado una mpango wa kumnyoa marehemu.
 
Ni mpumbavu pekee yake ndiye anayeweza kuamini nguvu zimewahi kishinda akili.

Kwenye hili, washindi ni CHADEMA. Baada ya miezi sita, utanielewa.

Siku zote ukitenda ambacho mpinzani wako alitarajia utatenda, ujue umeanguka.
 
Subiri umuone anavyokutana na upinzani mdanganyeni tu na ataharibu hujawahi ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…