Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
Sama samia ni jasir au polisi ndo jasiriMwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomeikia mdude akitukana,mbowe akimfokea, Heche akimtishia,lisu akimdhihaki nilihofu Sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara ,ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo
Kidumu chama cha mapinduzi
USSR
Umehamia mmu
USSR
Huwezi kuelewa mkono wa serikali kwenye hili. Wangeamua CDM isingeshinda hiyo rufaa. Kama huelewi hilo basi wewe ni mgeni nchi hii na Africa kwa ujumla. Unaamini na Mdude alishinda rufaa?,au ilipangwa tu iwe hivyo??Million 300 zimerudishwa baada ya CDM kuigaragaza serikali kwenye rufaa sio favor hii.
Huna akili hata mojaHawa jamaa wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Mama alikuwa upande wao wakarudishiwa hadi milioni 300, wakazunguka kila kona wakifanya mikutano. Na yule Mdude wao akaachiwa wakati ushahidi wa kumfunga ulikuwepo, akaanza jeuri eti nitamnyoa kama mtangulizi wake.
Mbowe naye akaota mapembe akaanza maneno ya jeuri, mama akaona kumbe hawa sio wa kuwachekea hata kidogo. Walivyo wapuuzi hawaheshimu hata sikukuu ya waislamu wanaitisha makongamano ya katiba siku ya Iddi. Acha waonje joto ya jiwe tu.
Ubaya ubaya.Hahahaha naona Samia amewaamulia bawacha hawapumui walimsema JPM Sasa imegeuka ,mama D
USSR
Kalisha pale weweeeeSi mlisema mtanyoa kama mtangulizi wake, haya mnyoeni sasa hamna kulialia
Shida ni kwamba mwisho wao huwa hapo Mzena tuMwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomsikia Mdude akitukana,Mbowe akimfokea, Heche akimtishia,Lissu akimdhihaki nilihofu sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya Rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe Rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara, ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
USSR
Hata Mwendazake hakuropoka ila aliomba AombeweMwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomsikia Mdude akitukana,Mbowe akimfokea, Heche akimtishia,Lissu akimdhihaki nilihofu sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya Rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe Rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara, ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
USSR
Unajionaga una akili kumbe in reality ni K.enge tu. Usikute na wewe unaitwa mama mlezi.Huna akili hata moja
Nyie ni wapumbavu sana,ni jambo gani jipya ambalo samia atafanya la kuwashangaza wapinzani na kuwaogofya,hivi chadema mnafikiria awategemei haya yanayowakuta,kama jela washafungwa sana risasi washapigwa mahabusu ndio kwao lakini hawajawahi rudi nyuma.Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomeikia mdude akitukana,mbowe akimfokea, Heche akimtishia,lisu akimdhihaki nilihofu Sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara ,ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo
Kidumu chama cha mapinduzi
USSR
So what? Who caresTayari keshaanza ku trend...
Leader of Tanzania's main opposition party arrested
The head of Tanzania's main opposition party was arrested Wednesday ahead of a planned forum to demand constitutional reform, a move denounced as a throwback to the oppressive rule of the country's late leader.www.yahoo.com
Hahahaha naona Samia amewaamulia bawacha hawapumui walimsema JPM Sasa imegeuka ,mama D
USSR
Subutu, tena kwa jeuri hizi angewapiga nyingine tenaKipindi cha Magu zingerudi?
Una bahati unatumia jina zuri la Jerusalem.Unajionaga una akili kumbe in reality ni K.enge tu. Usikute na wewe unaitwa mama mlezi.
Mama nawajibu kwa busaraHawa jamaa wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Mama alikuwa upande wao wakarudishiwa hadi milioni 300, wakazunguka kila kona wakifanya mikutano. Na yule Mdude wao akaachiwa wakati ushahidi wa kumfunga ulikuwepo, akaanza jeuri eti nitamnyoa kama mtangulizi wake.
Mbowe naye akaota mapembe akaanza maneno ya jeuri, mama akaona kumbe hawa sio wa kuwachekea hata kidogo. Walivyo wapuuzi hawaheshimu hata sikukuu ya waislamu wanaitisha makongamano ya katiba siku ya Iddi. Acha waonje joto ya jiwe tu.
Hakika Samia analeta Suluhu ya kweli mm kidogo nitoke kwenye linesChuma JPM kilijua kunoa Chuma SSH
Wanaodhania kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mpinzani wa John Pombe Joseph Magufuli wakapimwe mkojo
Rest well papaa[emoji885][emoji885][emoji885][emoji885]
We miss you so much[emoji120]
Ajiangalie tu - anaweza asifike mbali kama mwenzake.Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa mtu asiyekujibu ukimtishia ,asiyekutukana ukimtukana ,asiyejibu hoja za chuki huwa anafanya kwa weledi wa hali ya juu.
Nikipomsikia Mdude akitukana,Mbowe akimfokea, Heche akimtishia,Lissu akimdhihaki nilihofu sana yeye akijibu kwa vitendo maana vitendo husema sana kuliko maneno.
Mtu dhaifu hupiga kelele nyingi aonekanane ananguvu aogopwe Ila mtu jasiri hujibu kwa staha na kujiamini,
Tunaojua nguvu ya Rais wa Tanzania (hata chadema waliwahi kukiri) tulishangaa matusi Yale na kejeri tukasema Mungu ampe Rais maamuzi ya busara na Sasa amejibu kwa busara, ametumia nguvu kidogo kudhihirisha mamlaka aliyonayo.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
USSR
Hakika Samia analeta Suluhu ya kweli mm kidogo nitoke kwenye lines
USSR
Hii speech ni kama ilikuwa inatafsiri kwamba Samia yupo tayari kuchukua nchi akisaidiwa na hao kina Kassim, Kabudi na Mpango.Chuma JPM kilijua kunoa Chuma SSH
Wanaodhania kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mpinzani wa John Pombe Joseph Magufuli wakapimwe mkojo
Rest well papaa🕊🕊🕊🕊
We miss you so much🙏