NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,765
- 4,959
umejibu vyema mpaka nimehisi hii ndo ID ya chura kiziwi...πSlaa kama ni Waziri mzuri atafanya kazi huko huko na ataonekana tu
Acha ujinga na utotoMuelekeo wa jamaa alikuwa maarufu kuliko namba moja.
Watu waliweke imani zaidi kwake kuliko
Kweli kabisa.Muelekeo wa jamaa alikuwa maarufu kuliko namba moja.
Watu waliweka imani zaidi kwake kuliko
Hujui tu unachokiongea,huyo waziri Slaa hafai kabisa...mamia ya watu wamevunjiwa nyumba zao na hawana kwa kwenda.Tatizo lake ni kukurupuka kwa kusikikiza upande mmoja.Mambo ya ardhi kwakuwa yalikosewa tangu uhuru,yanahitaji hekima kubwa na siyo kukurupuka kuvunja nyumba zaidi ya 600,hawa watanzania wanakwenda wapi.Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano.
Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM katika idara mbalimbali mfano wa viongozi hao wa chache ni Lyatonga Mrema, Samuel Sitta, professor Mwandosya,Jaji Warioba, professor Asadi n.k
Turudi kwa Jerry Slaa sina haja ya kuweka maelezo mengi juu ya utendaji wake wa kazi katika wizara ya ardhi mimi ni miongoni mwa watu ambao tulikuwa tunamfuatilia kwa makini jinsi alivyokuwa anatimiza majukumu yake kutatua migogoro ya ardhi sehemu mbalimbali za nchi hii iliyodumu kwa miongo kadhaa iliyopita.
Kwa kweli wananchi maskini na wanyonge walipata haki zao zilizoporwa na mafisadi papa kwa kushirikiana na viongozi waliokosa uadilifu tena walifikia hadi kunajisi mahakama na 'documents' zao feki.
#Mama bring back Jerry Slaa wizara ya ardhi.
KAANDAMANE UPATE HAKI YAKO. MKIAMBIWA UONGOZI WA CHURA KIZIWI NI WAKUSUA MNALETA NGONJERA ZA DARASA LA SABA ZILE NYIMBO HUKU MKIZUNGUSHA VIONO KUSHOTO NA KULIASijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano.
Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM katika idara mbalimbali mfano wa viongozi hao wa chache ni Lyatonga Mrema, Samuel Sitta, professor Mwandosya,Jaji Warioba, professor Asadi n.k
Turudi kwa Jerry Slaa sina haja ya kuweka maelezo mengi juu ya utendaji wake wa kazi katika wizara ya ardhi mimi ni miongoni mwa watu ambao tulikuwa tunamfuatilia kwa makini jinsi alivyokuwa anatimiza majukumu yake kutatua migogoro ya ardhi sehemu mbalimbali za nchi hii iliyodumu kwa miongo kadhaa iliyopita.
Kwa kweli wananchi maskini na wanyonge walipata haki zao zilizoporwa na mafisadi papa kwa kushirikiana na viongozi waliokosa uadilifu tena walifikia hadi kunajisi mahakama na 'documents' zao feki.
#Mama bring back Jerry Slaa wizara ya ardhi.
Wee kijana mtundu kweli πππumejibu vyema mpaka nimehisi hii ndo ID ya chura kiziwi...π
hivyo sahivi hamtuiti vijana wa hovyo bali watundu! mnabadirika kila siku!πWee kijana mtundu kweli πππ
Kama umevamia kiwanja cha mtu ukajenga kwa docs za kufoji kinachofuata ni kuvunjiwa wengine walikuwa wanapiga danadana hadi hukumu za mahakamaHujui tu unachokiongea,huyo waziri Slaa hafai kabisa...mamia ya watu wamevunjiwa nyumba zao na hawana kwa kwenda.Tatizo lake ni kukurupuka kwa kusikikiza upande mmoja.Mambo ya ardhi kwakuwa yalikosewa tangu uhuru,yanahitaji hekima kubwa na siyo kukurupuka kuvunja nyumba zaidi ya 600,hawa watanzania wanakwenda wapi.
M/Mungu amlaani huyu jamaa,Kibaha kiwanja namba 34 alichokifanya...malipo ni hapa hapa duniani.
Kwahiyo darasa la saba hawana haki ya kuongea??ishu ya ardhi iliwashika pabaya.....KAANDAMANE UPATE HAKI YAKO. MKIAMBIWA UONGOZI WA CHURA KIZIWI NI WAKUSUA MNALETA NGONJERA ZA DARASA LA SABA ZILE NYIMBO HUKU MKIZUNGUSHA VIONO KUSHOTO NA KULIA
umeelewa au ni wewe mmoja wapo kundi la wale ccm.baya unashangilia na zuri unashangilia ukisema kaupiga mwingiKwahiyo darasa la saba hawana haki ya kuongea??ishu ya ardhi iliwashika pabaya.....
Slaa hana shida tatizo ni mfumo mbovu wa chama chake weka siasa pembeni.