Yaani huwezi kusema eti nchi ilikuwa imefungwa blah blah wakati yeye alikuwa makamu wa rais
Rais Samia anawatambua. Ndiyo maana wakati mmoha alisema kuwa kuna mzee mmoja mstaafu aliwahi kumwambia kuwa watakaopinga ni wanakijani wenzake, siyo wapinzani.SAWA ipo Imani kwake ila waliomzunguka ndio sii watu wema, akianzia Kwa skins siro na kundi lake, kwani bado wanamtazamo na mambo ya awamu tangulizi, ongeza na wafuasi wao wanaoamini katika matumizi ya mabavu na dhuluma , naamini ameshaweza kuufahamu ukweli na asiwacheleweze awanyoe haraka , Ili malengo take mazuri kwa taifa yawezetimia.
Kwa katiba yetu hii mbovu, kila kitu ni Rais. Awamu ya 5, mabaya yote yaliyofanyika, au yalikuwa na maagizo ya Magufuli au yalikuwa na baraka zake. Kipindi cha Magufuli,watu walikuwa wanashindana kwa uovu dhidi ya wananchi. Ya awamu ya 5, ni ya Magufuli na genge lake, hayamhusu mwingine yoyote.Yaani huwezi kusema eti nchi ilikuwa imefungwa blah blah wakati yeye alikuwa makamu wa rais
Akiwa fair kwenye uwanja wa siasa ndo utakuwa mwisho wa chama tawala.Nchi yetu imepita vipindi vingi, vyote vikiwa chini ya utawala wa TANU na baadaye CCM. Kila lililo jema na lililo baya katika Taifa letu lazima lishikamanishwe na CCM kama chama, japo tofauti zilikuwepo vipindi mbalimbali kutokana na matakwa ya Rais aliyekuwepo katika kipindi fulani.
Kuna tawala, mambo yalikuwa afadhali, kuna tawala mambo yalikuwa mabaya, na kuna utawala mambo yalikuwaabaya sana.
Mimi siyo shabiki wa Rais Samia wala mtu yeyote bali ni shabiki wa kudumu wa nchi yangu Tanzania ambayo kuna watu wanaihangaikia kila siku ili paweahali pema, lakini wapo wanaohangaika kuimaliza.
Ukilinganisha katika vipindi vyote, kipindi hiki, chinibya uongozi wa Samia, kila mmoja akienenda kwa hekima, kuna nafasi kubwa ya kujenga misingi bora mipya kwa Taifa letu katika nyanja zote, yaani kuanzia haki, demokrasia, uhuru wa maoni, na uchumi huru.
Rais Samia siyo malaika, kuna hapa na pale anaweza kutenda yasiyo matarajio ya baadhi yetu, lakini kwa ujumla, chini ya uongozi wa Rais Samia, kuna nafasi kubwa sana ya kuitengeneza Tanzania mpya, yenye mambo mengi yaliyo chanya. Jambo la muhimu tumpe moyo, tushirikiane naye (bila ya kujali tofauti za kivyama) ili kuijenga Tanzania iliyo njema kwa kila Mtanzania. Lakini tusitarajie mabadiliko yote kwa haraka na kwa wakati mmoja. Tujue kila atakalofanya kuna uoinzani mkubwa, na hasa ndani ya chama chake.
Nawasihi viongozi wa upinzani, jengeni ukaribu na ushirikiano na huyu Rais (hamzuiwi kukosoa, kwa staha), kwa lengo moja tu , ili Rais katika katika kipindi chake cha uongozi, amalize akiwa ameweka misingi imara maeneo yote. Tanzania imara ni faida kwa kila Mtanzania.
Akiwa fair kwenye uwanja wa siasa ndo utakuwa ndio mwisho wa chama tawala.Nchi yetu imepita vipindi vingi, vyote vikiwa chini ya utawala wa TANU na baadaye CCM. Kila lililo jema na lililo baya katika Taifa letu lazima lishikamanishwe na CCM kama chama, japo tofauti zilikuwepo vipindi mbalimbali kutokana na matakwa ya Rais aliyekuwepo katika kipindi fulani.
Kuna tawala, mambo yalikuwa afadhali, kuna tawala mambo yalikuwa mabaya, na kuna utawala mambo yalikuwaabaya sana.
Mimi siyo shabiki wa Rais Samia wala mtu yeyote bali ni shabiki wa kudumu wa nchi yangu Tanzania ambayo kuna watu wanaihangaikia kila siku ili paweahali pema, lakini wapo wanaohangaika kuimaliza.
Ukilinganisha katika vipindi vyote, kipindi hiki, chinibya uongozi wa Samia, kila mmoja akienenda kwa hekima, kuna nafasi kubwa ya kujenga misingi bora mipya kwa Taifa letu katika nyanja zote, yaani kuanzia haki, demokrasia, uhuru wa maoni, na uchumi huru.
Rais Samia siyo malaika, kuna hapa na pale anaweza kutenda yasiyo matarajio ya baadhi yetu, lakini kwa ujumla, chini ya uongozi wa Rais Samia, kuna nafasi kubwa sana ya kuitengeneza Tanzania mpya, yenye mambo mengi yaliyo chanya. Jambo la muhimu tumpe moyo, tushirikiane naye (bila ya kujali tofauti za kivyama) ili kuijenga Tanzania iliyo njema kwa kila Mtanzania. Lakini tusitarajie mabadiliko yote kwa haraka na kwa wakati mmoja. Tujue kila atakalofanya kuna uoinzani mkubwa, na hasa ndani ya chama chake.
Nawasihi viongozi wa upinzani, jengeni ukaribu na ushirikiano na huyu Rais (hamzuiwi kukosoa, kwa staha), kwa lengo moja tu , ili Rais katika katika kipindi chake cha uongozi, amalize akiwa ameweka misingi imara maeneo yote. Tanzania imara ni faida kwa kila Mtanzania.
Huyo alikuwa mfitini kwa 100%. Na ni kupungukiwa hekima useme eti mpinzani mkubwa wa mipango ya maendeleo ni mtoto wako au mumeo, yaani unaambiwa ni bora jirani yako kuliko familia, yaani ni bora mchepuko kwa wanaume badala ya mke wake na watoto wake.Rais Samia anawatambua. Ndiyo maana wakati mmoha alisema kuwa kuna mzee mmoja mstaafu aliwahi kumwambia kuwa watakaopinga ni wanakijani wenzake, siyo wapinzani.
Wapinzani wanachotaka ni haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Lakini huko ndani ya kijani kuna watu ni mashetani, hawataki kabisa mambo hayo.
Akiwa fair kwenye uwanja wa siasa ndo utakuwa mwisho wa chama tawala.