Rais Samia,aongoza mjadala kuhusu Nishati Safi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,258
Reaction score
951
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza mjadala kuhusu Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika katika Mkutano wa Ngazi ya Juu, pembezoni mwa Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), tarehe 12 Novemba, 2026, ANFAŞ Antalya Expo Center, Uturuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…