Rais Samia anatumia mbinu zilizomuangusha Joyce Banda Malawi, na yeye anaweza kuanguka 2025

Huwa simpendi kabisa huyu Jamaa anajiita Mdude Nyagari...
Lakini angalau sasa anaonesha maturity kwenye style yake ya kukosoa...
Hakuna matusi kabisa Kwa alichokiandika....
Hata kama alichoandika sio sahihi..Mimi nimependa Tu maturity ya uandishi ...kutokuwepo Kwa matusi kama twits zake nyingi alizokuwa anarusha zamani...
Tunaweza Ku agree to disagree kwenye hoja ...na bado tukajadiliana kiustaraabu kabisa...
 
Mimi pia sikuamini kama muandishi wa hii thread ni Mdude, ilinibidi baada ya kumaliza kusoma hili bandiko nipande tena juu kuhakikisha kama ni yeye. Too much maturity katika ukosoaji wake.
 
 
Mdude- mnatumia nguvu kubwa kuhangaika na mkataba ambao haupo
 
Mimi pia sikuamini kama muandishi wa hii thread ni Mdude, ilinibidi baada ya kumaliza kusoma hili bandiko nipande tena juu kuhakikisha kama ni yeye. Too much maturity katika ukosoaji wake.
Yes angekuwa hivi siku zote unampa nafasi ya kumsikiliza..hata Magufuli asingempa kesi...
 
Hata Magufuli hakujua km angekuwa rais. Halafu Joyce ni Joyce siyo Samia. We omba uzima ushudie ushindi wa kishindo 2025. Halafu hakuna hoja ya maana unayozungumzia zaidi ya propaganda zako za chuki tu, tena ni wivu kwa kuwa mama anaupiga mwingi. Hao ni watu wawili tofauti kabisa, Samia is so visionary
 
Tatizo la nchi ya Tanzania toka ipate uhuru imekuwa ikiongozwa na maadui wale nyerere aliowataja. Nchi hii haijawahi kupata kiongozi bali vingozi wa nchi hii ndio maadui wa maendeleo wa taifa hili


Unakuja mtu amezaliwa kwamkunga, hajazaliwa hospitalini kijiji chao hakina hospitali wala huduma za afya, mtu huyo huyo anatokea kijiji kisicho na maji, wala bara bara, anapata bahati anafaulu katika masomo yake anakuja dar UDSM. Ndio mwanzo wake kuona lami nakuanza kutumia maji safi na salama na hivyo hivyo ndio mwanzo wake yeye kwenda dispensary akiwa dar anapoumwa. Mtu huyu mnakuja mmpa uwaziri? Seriously

Tangu lini mtu kama huyu mnampa mdaraka makubwa wakati ametoka katika maisha duni, Huyu mtu chakwanza yeye nikujilimbikizia mali uwizi uporaji wa mali za umma ndio anachokijua, kwasababu bado anatembelea ile bloodline na uduni wa maisha yake milele

Viongozi wengi katika taifa hili, wana uwezo mdogo wakufikiri, alafu ndio hao hao unaokuta wamepewa madaraka makubwa serikalini! Jambo la hatari sana, ni sawasawa na mtoto wa miaka 10 kumpa kifaru chakivita chenye milipuko acheezee, yani akifanya mistake moja maelfu wamekufa.

Pascal Mayalla
 
Amesukumiziwa tu uongozi. Tumuombee, ni kazi ngumu.
mamako alisukumiziwa lipumbavu likazaliwa ndio wewe. Rais wtu ana akili kubwa kuliko wanaume wengi hapa duniani ikiwa pamoja na huyo mshamba wenu mfu. Mmejawa wivu mlitegemea angeshindwa hameni nchi mtakufa na machuki yenu
 
Kilichobaki ni we kuhama hii nchi maana we ndiyo mwenye matatizo
 
Naogopa sana watanganyika mnaenda kuipoteza nchi yenu

Mnajua kitu kimoja waarabu ni watu wa fujo na kusababisha machafuko kwenye nchi za watu

Wataharibu nchi yenu walete wapiganaji ili wamiliki ardhi yenu watangaze kuwa jamuhuri ya kiarabu
jamhuri ya kiarabu au ya kiislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…