Ni jambo jema kudumisha uhusiano mzuri na nchi jirani, LAKINI uhusiano mzuri wa ndani ni muhimu zaidi.
Aibu kubwa dhidi ya Samia ni kesi ya kubumba anayoipigia chapuo na kushabikia dhidi ya Mbowe.
Uchafu wake huo ndio unaomfanya ashindwe kutembelea mataifa makubwa yenye ustaarabu yanayothamini demokrasia na haki za watu.