PreGE2025 Rais Samia achangiwa zaidi ya Tsh. Billion 1.5 ili aweze kurejea tena madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Kwenye usiku wa Huba Huru Ghala Taasisi mbali mbali na Wafanyabiashara wameshiriki katika harambee maalum ya kumchangia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, kuongeza bguvu katika uchaguzi mkuu ili aweze kurejea tena madarakani kuliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025


Mpaka asubuhi ya leo kwenye Khaan Mbarouk ameeleza kuwa jumla ya fedha zilizokusanywa ni zaidi ya Tsh Billion 1.5, ikiwa ni matokeo ya mapenzi ya Watanzania kwa Rais Samia.

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ni michango ya wauza unga na wakwepa kodi. Huwa tunajua michango ya aina hiyo.
 
Serikali Yote Ya Mwalimu Nimeiweka Mfukoni
Mwalimu Akasema Anamfuko Mpana Kiasi Gani Mpaka Serikali Itoshe Mfukoni Mwake
Ajua Anatoa Rushwa, wakati Ule Hatukuwa Na Mchezo Na Rushwa
Tukamkamata Tukamtupa Ndani, Mshenzi Sana Yule


Mpaka Sasa Serikali Ya CCM Inarudishwa Madarakani Na Wafanyabiashara Siyo Tena Wananchi Kupitia Sanduku La Kura. ImenunuliwA Sasa CCM
 
Maigizo ya ya Uchaguzi wakati Tume yake ya Uchafuzi imeshapanga kumtangaza.
 
narcotic cartels wanajisafishia
Kwenye kitabu cha " Things Fall Apart" Kuna character mmoja anaitwa Unoka alikuwa bingwa wa burudani, hakutaka shida...ya mambo ya vita. Alitaka peace of minds ....hakutaka shida kujua mambo ya usalama Yeye ilikuwa ni zumali tu! Raha kwenda mbele stress hazikupata nafasi kwake!!!

Kuepuka stress ni kuepuka kujua mambo mengi. Hata hivyo, tusisahau kuwa na taarifa za kutosha ni nguvu muhimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…