God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
Mkuu bado naona uadui wao upo machoni mwao hata kabla mambo yalikua bado hayajawa mabaya hivi embu waangalie hapo mwishoni wanavyotazamana kwa woga?
Tena hako kabibi Nimemsikia juzi hapo akisema akishatinga White house tuu Operations yake ya kwanza ni pale Syria kwa Assad.Obama alisharudi nyuma,sasa tunamgoja hilaly clinton
Tena hako kabibi Nimemsikia juzi hapo akisema akishatinga White house tuu Operations yake ya kwanza ni pale Syria kwa Assad.
Kama Obama akiufyata na kulialia, tuone kama yeye atauweza huo Mziki Russia.....!!!
for realHahaaaaaaa,
Mkuu International Politics is all about Organised Hypocrisy.
Nazani nani atakuwa muoga zaidi ya mwenzie
embu fikiria hiyo 2013 walikua wakitizamana hivo saivi itakuaje?Kwahali ilivyosasa sidhani kama wanaweza wakakutana na kudiscuss issue yoyote. Labda kila mtu atume mwakilishi
Inasemekana Putin anatembea na siraha mkono wake wa kulia haha.embu fikiria hiyo 2013 walikua wakitizamana hivo saivi itakuaje?
Kwani obama ndie asiekua nazo? amewahi kutoka nje ya marekani bila ulinzi mkali? embu wacha mambo yako bwanaInasemekana Putin anatembea na siraha mkono wake wa kulia haha.
Nadhani hujaelewa ninachokiongea; I haven't talked about security around top officials in the country, Am talking of them carrying personal weapons like pistols. Top officials huwa hawabebi siraha katika miili yao zaidi ya kuambatana na ulinzi wa pembeni ambao hao ndio hubeba siraha. Nadhani nitakuwa nimeutanua ubongo wako, usikurupuke na kupinga tu something you haven't understood kijana.member: 367083" said:Kwani obama ndie asiekua nazo? amewahi kutoka nje ya marekani bila ulinzi mkali? embu wacha mambo yako bwana
ni vyema kuandika sentensi inayoeleweka kama hapoNadhani hujaelewa ninachokiongea; I haven't talked about security around top officials in the country, Am talking of them carrying personal weapons like pistols. Top officials huwa hawabebi siraha katika miili yao zaidi ya kuambatana na ulinzi wa pembeni ambao hao ndio hubeba siraha. Nadhani nitakuwa nimeutanua ubongo wako, usikurupuke na kupinga tu something you haven't understood kijana.
Kwani ile sentensi ya mwanzo haikueleweka mkuu? Au neno "siraha" linamaana moja na "ulinzi"?ni vyema kuandika sentensi inayoeleweka kama hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa mkuu, Hillary amekwisha tone down her rhetoric, sijui kashtuka nini? Mambo ya kutaka kukabiliana na Warusi/Asaad huko Syria ameachana nayo anasema mambo hayo yanaweza kumalizwa kidiplomasia - nafikiri mumewe ndiye kamshauri hivyo.