RAIS NI TAASISI TUMHESHIMU.

RAIS NI TAASISI TUMHESHIMU.

amanmb

Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
28
Reaction score
17
Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea sasahivi katika taifa leo.

Naanza kwa kujiuliza, kwani Rais ni mtu au taasisi? Nijuavyo mimi Rais ni taasisi, haijakishi jinsia, rangi, dini wala kabila yeyote atakayekaa katika nafasi hiyo ndio wetu tayari. Sote tunapaswa kumsikiliza na kutekeleza maagizo yake kwa utii.

Leo hii wale viongozi waliokuwa na nafasi kubwa katika Serikali na kuzipoteza wameonekana vinganganizi na watovu wa nidhamu kwa taasisi (Rais). Ushauri wangu, ni vema wakakubali matokeo ya kwamba, wakati wao umekwisha na sasa ni wakati wa wengine kuitumikia nchi yao.

Imebainika kuwa, vinganganizi hao walichuma sana fedha za umma wakati huo hata ziwape viburi na kutomtii mtawala wa sasa. Wafahamu kuwa mtawala anafahamu juu ya chuki yao kwake, namna walivyochota mali ya umma wakati huo lakini pia anafahamu mipango yao ya baadae.

Sasa basi, mwenye masikio na asikie maneno haya. Walipata bahati wakaitumia kwa maslahi yao, basi wakae pembeni ili wazalendo wa kweli waendeshe nchi kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Asanteni.

Ni mimi mtiifu wa Rais (Taasisi).
 
Acha kiherehere. Nikajua unaandika la maana kumbe una nyongo yako.
Mtu aliyechukua fedha, si akamatwa, afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi? Shida iko wapi mtumie maneno matupu kuchafua watu waliohudumu katika serikali iliyopita?
 
ID yako nyingine ni ipi?😁🤭🤭...

Ni kweli zama zao zimepita, kama hawakula kwa urefu wa kamba zao...shauri zao!,, wasiwaonee wivu wanaokula kwa urefu wa kamba zao sasa hivi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Acha mkwara wewe...!! Mwambieni arudi kiskani ,
 
Nilijiandaa kuchukua madini,ulivyosema mara ya mwisho kupost hapa ilikuwa miaka saba. Nikajua leo kuna madini ya kutosha baada ya chimbo. Kumbe hhaaaaa....!

Kwa hiyo tusema zama zao zimepita,kwa sasa ni zamu yenu?.
 
Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea sasahivi katika taifa leo.

Naanza kwa kujiuliza, kwani Rais ni mtu au taasisi? Nijuavyo mimi Rais ni taasisi, haijakishi jinsia, rangi, dini wala kabila yeyote atakayekaa katika nafasi hiyo ndio wetu tayari. Sote tunapaswa kumsikiliza na kutekeleza maagizo yake kwa utii.

Leo hii wale viongozi waliokuwa na nafasi kubwa katika Serikali na kuzipoteza wameonekana vinganganizi na watovu wa nidhamu kwa taasisi (Rais). Ushauri wangu, ni vema wakakubali matokeo ya kwamba, wakati wao umekwisha na sasa ni wakati wa wengine kuitumikia nchi yao.

Imebainika kuwa, vinganganizi hao walichuma sana fedha za umma wakati huo hata ziwape viburi na kutomtii mtawala wa sasa. Wafahamu kuwa mtawala anafahamu juu ya chuki yao kwake, namna walivyochota mali ya umma wakati huo lakini pia anafahamu mipango yao ya baadae.

Sasa basi, mwenye masikio na asikie maneno haya. Walipata bahati wakaitumia kwa maslahi yao, basi wakae pembeni ili wazalendo wa kweli waendeshe nchi kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Asanteni.

Ni mimi mtiifu wa Rais (Taasisi).
Nyinyi ndo mnamjaza mama kuwa Waitara anataka Urais naye anaamini maana anajua nyinyi mmejua mipango yake!

Shwainiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea sasahivi katika taifa leo.

Naanza kwa kujiuliza, kwani Rais ni mtu au taasisi? Nijuavyo mimi Rais ni taasisi, haijakishi jinsia, rangi, dini wala kabila yeyote atakayekaa katika nafasi hiyo ndio wetu tayari. Sote tunapaswa kumsikiliza na kutekeleza maagizo yake kwa utii.

Leo hii wale viongozi waliokuwa na nafasi kubwa katika Serikali na kuzipoteza wameonekana vinganganizi na watovu wa nidhamu kwa taasisi (Rais). Ushauri wangu, ni vema wakakubali matokeo ya kwamba, wakati wao umekwisha na sasa ni wakati wa wengine kuitumikia nchi yao.

Imebainika kuwa, vinganganizi hao walichuma sana fedha za umma wakati huo hata ziwape viburi na kutomtii mtawala wa sasa. Wafahamu kuwa mtawala anafahamu juu ya chuki yao kwake, namna walivyochota mali ya umma wakati huo lakini pia anafahamu mipango yao ya baadae.

Sasa basi, mwenye masikio na asikie maneno haya. Walipata bahati wakaitumia kwa maslahi yao, basi wakae pembeni ili wazalendo wa kweli waendeshe nchi kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Asanteni.

Ni mimi mtiifu wa Rais (Taasisi).
Tafadhali ukipata muda tembelea Hospitali za Wagonjwa wa Akili zilizoko Jirani nawe nakuona ni kama vile Psychopath Case ila hujajigundua.
 
Acha kiherehere. Nikajua unaandika la maana kumbe una nyongo yako.
Mtu aliyechukua fedha, si akamatwa, afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi? Shida iko wapi mtumie maneno matupu kuchafua watu waliohudumu katika serikali iliyopita?

Pole sana. Imekuchoma eh. Wezi nyie subirini wakati wa kutapika fedha za wizi unakuja. Jasho la watanzania haliendi bure.
 
Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea sasahivi katika taifa leo.

Naanza kwa kujiuliza, kwani Rais ni mtu au taasisi? Nijuavyo mimi Rais ni taasisi, haijakishi jinsia, rangi, dini wala kabila yeyote atakayekaa katika nafasi hiyo ndio wetu tayari. Sote tunapaswa kumsikiliza na kutekeleza maagizo yake kwa utii.

Leo hii wale viongozi waliokuwa na nafasi kubwa katika Serikali na kuzipoteza wameonekana vinganganizi na watovu wa nidhamu kwa taasisi (Rais). Ushauri wangu, ni vema wakakubali matokeo ya kwamba, wakati wao umekwisha na sasa ni wakati wa wengine kuitumikia nchi yao.

Imebainika kuwa, vinganganizi hao walichuma sana fedha za umma wakati huo hata ziwape viburi na kutomtii mtawala wa sasa. Wafahamu kuwa mtawala anafahamu juu ya chuki yao kwake, namna walivyochota mali ya umma wakati huo lakini pia anafahamu mipango yao ya baadae.

Sasa basi, mwenye masikio na asikie maneno haya. Walipata bahati wakaitumia kwa maslahi yao, basi wakae pembeni ili wazalendo wa kweli waendeshe nchi kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Asanteni.

Ni mimi mtiifu wa Rais (Taasisi).
Tanzania ina watu karibu asilimia 95% ambao akili zao zina vinasaba vya kuchanganyikiwa
 
Mkuu wapo watu hawajielewi
 
WAZALENDOOOOOOOO! Wewe kuna ugonjwa utakuwa unakunyemelea sio bure.
 
Pole sana. Imekuchoma eh. Wezi nyie subirini wakati wa kutapika fedha za wizi unakuja. Jasho la watanzania haliendi bure.

Heshima ya rais haipo kwenye utaasisi bali ni kwenye matendo.
 
Weka na mawasiliano yako ili upigiwe simu direct kutoka usa ukabiziwe kitengo.
 
Baada ya miaka saba unaleta mataptap, bora ungebaki hukohuko
 
Back
Top Bottom