Kwa hesabu zetu, CCM watapata wabunge wengi kuliko chama kingine chochote lakini itaanguka kwa Ktk urais kwa nguvu ya Ukawa.. So PM atatoka CCM, lakin si tibaijuka.. Atakuwa ni katika wale ambao wanapambana usiku kumuhujumu JPM na CCM yake wakiwa ndani ya CCM. Tusubiri kwa kuwa haya ni mambo ya kikatiba na yanaweza badilishwa na bunge..Lolote linaweza kutokea.