Hili janga la mafuta Sasa ni jipu kubwa karudia tabia ya kuficha mafuta kama alivyofanya kwenye sukari Enzi zile. Ufisadi Sasa hivi ni wa watu wachache Sana, raisi wetu mtarajiwa ni majaaaliwa.

Nyao za Nyerere. Aliwahi sema amefanya makosa mengi na tumuige kwa yale mazuri lkn angalia tunamuiga kwa yale aliyosema mwenyewe ya kipumbuvu. (Jamani ni Nyerere ndiyo kasema sio Mimi)