Sisi wazee wa kubet hatulii lii hovyo make odds zipo na Muhindi kunamdokoa na tunafanya mahemezi makubwa, kwa bei iliyopoBashe shikilia hapo hapo ili wadangaji, wanaobet, wacheza pool, machawa na walevi waipate freshi.
Kwa hiyo Bara kuna wakulima wa mazao ya chakula, halafu hakuna walaji!Zanzibar hakuna wakulima wa mazao ya chakula hivyo Kuna walaji
Huwezi kumridhisha mlaji kwa kumkamua mkulimaKwa hiyo Bara kuna wakulima wa mazao ya chakula, halafu hakuna walaji!
Watu wanachoangalia ni mfuko mkubwa wa bei! Mchele unauzwa 3600, halafu mnasema kama hatuwezi kununua tukalime!Huwezi kumridhisha mlaji kwa kumkamua mkulima
Hiki ni kiswahili ama kihutu?tunafanya mahemezi makubwa
Alafu muwe mnaacha ujinga,kama mnaona wakulima wakishusha bei za mazao wanakuwa wanaonewa basi ni vyema serikali iondoe ruzuku kwenye pembejeo, maana hizo ruzuku nizinatokana nakodi zetu sisi raia tunaonununua mazao bei juu.Nendeni shamba mkalime acheni kulia lia mjini!! Huu ndo wakati wa kuingiza trekta na majembe shambani!!
MSije kusema hamkuambiwa msimu wa kulima unaanza lini!!
Alafu muwe mnaacha ujinga,kama mnaona wakulima wakishusha bei za mazao wanakuwa wanaonewa basi ni vyema serikali iondoe ruzuku kwenye pembejeo, maana hizo ruzuku nizinatokana nakodi zetu sisi raia tunaonununua mazao bei juu.
Kuna ukweli umeuweka hapo japo umeweka kwa lugja ya mzaha.Bashe shikilia hapo hapo ili wadangaji, wanaobet, wacheza pool, machawa na walevi waipate freshi.
Tunatakiwa kujenga mazingira ya kuhamasisha zaidi uzalishaji. Mzalishaji ana faida nyingi zaidi kuliko mlaji.Kwa hiyo Bara kuna wakulima wa mazao ya chakula, halafu hakuna walaji!
Kama hawa lialia watakuelewa nitag kabisa!! Mwisho wa msimu wataanza kulia lia tena badala ya kwenda kulima!!Kuna ukweli umeuweka hapo japo umeweka kwa lugja ya mzaha.
Nchi hii wazalishaji ni wengi sana. Jitu lenye nguvu kabisa, kijana, badala ta kufanya kazi, anashinda anabeti. Amemalizia pesa yote kwenye kubeti, akitoka hapo anaenda sokoni anakuta mchele sh 3,000 kilo anaingia JF kulalamika kuwa bei ni kubwa.
Ujinga mkubwa. Kama unashinda umekaa au unashinda unabeti, au unashinda unazunguka unatembeza shanga na bukta, unataka nani akazalishe ili wewe uviokote vinavyozalishwa kwa mateso, gharama na jasho, kwa bei poa? Watu wengi wakiingia kwenye uzalishaji, vyakula vitakuwa vingi, kanuni basic ya uchumi ya demand and supply itashika nafasi yake, na bei zitashuka.
Tumeifanya nchi yetu kuwa wachuuzi wa bidhaa zenye ubora hafifu za China, badala ya kuwekeza kwenye uzalishaji.