Sasa nimepata mwanga kwa nini wakristo wanataka pia kuwa na haki ya kuchinja. Wazee wenye busara kama mwinyi na wengne watusaidie,je kuchinja ni ibada au utamadun au ibada?kama ni utamaduni sawa ila kama ni ibada,kwa vyovyote vile hatutamlazimisha mkiristo kuingia na kushiriki ibada za din nyingne. Pia sitegemei wakristo waanze kuwaza kwa mtindo huo eti kwa kuwa jumapili hakuna kazi wafanyakazi wote lazma waende makanisani,hapana,kila mtu afanye kulingana na imani yake. Angalizo...tukubaliane katika ma sherehe makubwa yanayohusisha imani zote,apo tuweke utaratibu usiokwaza upande wowote.