TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Wadau,
Mnisaidie katika hili katiba yetu inasemaje, nimeona nchi ya Urus rais Putin baada ya kumaliza kipindi chake alimpisha mwingine naye akawa waziri mkuu.
Baadaye akagombea tena urais na kushinda, pia Ufaransa rais wa zamani Nicolas Sakorzy baada ya kumaliza muda wake anetangaza tena nia ya kugombea 2017.
Sasa je Mkapa au Mwinyi hawezi kugombea tena?