figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,719
- 55,830
Aliyekuwa wakati mmoja mkuu wa vyombo vya ujasusi vya Uganda, Jenerali David Sejusa, ambaye amegeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa Rais Yoweri Museveni, amekamatwa na kuzuiliwa katika kambi ya kijeshi ya Makindye nje kidogo ya jiji la Kampala, huku wakili wake akisema mteja wake "haruhusiwi kushauriana na yeyote wakiwemo mawakili wake." Tupe maoni yako.